Posted On: November 3rd 2026, 05:31 pm
๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐!๐จ ๐ณ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟMmiliki nwenza wa Chelsea Clearlake Capital ameshutumiwa kwa kuuza tena tiketi za mechi za Premier League kwa bei zilizopandishwa kupita kiasi.
Inaripotiwa kuwa tiketi za mechi zinazohusisha klabu zote za Premier League isipokuwa Chelsea zilikuwa zikitangazwa kuuzwa kupitia tovuti yake.
Hata hivyo, muda mfupi baada ya gazeti la The Times kuwasiliana na Clearlake kuhusu suala hilo, huduma ya tovuti hiyo iliondolewa.
Hii team imeanza kuwa ya kitapelii sasa Duuuuh ๐๐๐
Source
@martynziegler