Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. @hechejohn , na Katibu Mkuu, Mhe. @jjmnyika , wakisaini kitabu cha maombolezo katika Ofisi Kuu ya Chama, Edwin Mtei House, wakati wa kumbukizi ya mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29, 2025, iliyoandaliwa na Chama leo, Novemba 3, 2026.