Instagram story viewer> @kwaundaniafrica> Post
2 days ago
Co Creator: hamphreybmsangi
56
Posted On: November 3rd 2026, 07:26 pm
Tagged Users:
🇿🇲🔥 AFRIKA INA HEKALU LA SHAOLIN!

Je, ungeamini kwamba kuna watoto nchini Zambia wanaoamka saa 9 usiku kujifunza Kung Fu, nidhamu na falsafa ya utamaduni wa kale wa China?

Nje kidogo ya Lusaka, Zambia, kuna hekalu la Shaolin ambako watoto wanaishi, wanajifunza sanaa za mapigano, lugha ya Kichina, Sayansi, Hisabati na masomo mengine.

Lakini zaidi ya Kung Fu, simulizi hii inafungua mjadala mkubwa kuhusu elimu, malezi, nidhamu na namna tamaduni zinavyoweza kuvuka mipaka ya mabara. 🌍

Je, Afrika inapaswa kuwa na vituo vingi vya aina hii, au tuwekeze zaidi katika kuhifadhi na kufundisha tamaduni zetu wenyewe? Tuambie maoni yako kwenye comments. 👇🏾

🎥 Unapenda simulizi za kina kuhusu historia ya Afrika, tamaduni, ustaarabu na mambo ambayo wengi hawayajui?

Kwa video ndefu na uchambuzi wa kina wa mada kama hizi, tufuatilie YouTube kwa kutafuta KWAUNDANI.

🔎 Search: KWAUNDANI kwenye YouTube.
🔗 Link ipo kwenye bio yangu.

#KWAUNDANI #Africa #Zambia #ShaolinTemple #KungFu #africanstories
Comments (56)
ndaimtambo 13 hours ago

ndaimtambo

Ni selikali za watu wapumbavu ndio wanaweza kuruhusu vitu kama hivi. China wapo ki strategic zadi sio kwa bahati mbaya bali ni kuandaa utawala wao baada ya miaka 100

yababajryababajr 13 hours ago
mrcarpenter57 21 hours ago

mrcarpenter57

Sasa uyo ambae hana shati nimchina uyo ila amechanganya

amoni_mwakalinga 21 hours ago

amoni_mwakalinga

Kuna huyo dogo ni bao la kichina😂

mkeremi a day ago

mkeremi

Nenda moro pia lipo

kelvin98864 a day ago

kelvin98864

Bora tuish kama wachina maana hi tz viongoz majambaz

claus.chawala a day ago

claus.chawala

Sio mbali ni Zambia hapo, ukiwa Lusaka usiguse mtu kizembe

ima39530 a day ago

ima39530

Utumwa mtupu

ibrahimprofessor_ a day ago
saidijabiri646 a day ago

saidijabiri646

MIMI HATA SJAKUELEWA NILIKUA NAMTIZAMA UYO MTOTO HAPO NYUMA ANABALAAA

monsters_fruit___salad a day ago

monsters_fruit___salad

Kulingana na tamaduni za nchi hizo

babsaluutz a day ago

babsaluutz

Binafsi naona hkn shida kujifunza tamaduni za watu wengine koz hata wazungu wanajifunza tamaduni zetu

Load More

More posts

back to up