Posted On: November 4th 2026, 05:04 am
Good-bye MARCEL: Auf Wiedersehen/
Quite heartbreaking, it is sad to see you leave, however, goodbyes are not forever, are not the end, it simply means we will miss you until we meet again.
[Mutual Contract Termination with Singida BS]
Baada ya makubaliano ya pande zote mbili, tumesitisha mkataba wa Marcel Canadi ambaye alisajiliwa katika timu ya Singida Black Stars, ya mkoani Singida nchini Tanzania 🇹🇿.
Kipekee kabisa, tunapenda kutumia fursa hii kuwashukuru Menejimenti ya klabu ya Singida BS, pamoja na benchi la ufundi kwa fursa waliyompa Marcel, lakini pia tunawashukuru wachezaji wenzake kwa ushirikiano pamoja na mashabiki wote kwa sapoti kubwa.
Kwa sasa, Marcel anarudi Vienna, Austria 🇦🇹 kwa mapumziko lakini pia kujiweka fit kusubiri dirisha dogo la mwezi Disemba.
Liebe Grüße-
__________