Instagram story viewer> @mtegasports> Post
a day ago
🚨 RASMI: RAFA NADAL AINGIA KATIKA BODI YA WAKURUGENZI WA REAL MADRID, UAMUZI UMETHIBITISHWA 🎾
Taarifa rasmi ya klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwa Rafa Nadal atajiunga na Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, baada ya kupitishwa na Florentino Pérez. 

Ujumbe wa Nadal alioutoa moja kwa moja kwa mashabiki wote wa Madrid ⤵️

🗣️ “Ninataka kumshukuru Rais Florentino Pérez na Bodi ya Wakurugenzi kwa kunipendekeza nijiunge na Bodi ya Wakurugenzi ya Real Madrid.”
“Nimekubali pendekezo hili kwa furaha kubwa, kwa hamu ya kujifunza, na kwa utayari wa kuchangia kila kitu ninachoweza.”Rafa Nadal.

Source 
@fabriziorom
0
Posted On: November 4th 2026, 01:04 pm

More posts

back to up