instagram story viewer > #NECTA

#NECTA

Posts
*BREAKING NEWS 🔥 MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI KIDATO CHA PILI 2025/2026* 📌 *TAZAMA MATOKEO HAPA KUPITIA LINK INAYOFUNGUKA HARAKA:* https://www.mavusu.com/2026/01/form-two-results-20252026.html 🔗 *Follow AjiraCoach LinkedIn kwa updates zaidi:* *https://www.linkedin.com/company/ajiracoachtz/* #Matokeo #NECTA #FormTwoResults #AjiraCoach
Licha ya kuwepo kwa hamasa na mbinu mbalimbali za kuhimiza wanafunzi kulipenda somo la Hisabati lakini bado somo hilo limekuwa ni pasua kichwa kwa wahitimu wengi nchini. Kutokana na mtazamo huo, Baraza la Mtihani (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2023 na kuonesha kuwa ufaulu wa somo hilo bado ni tatizo ingawa kwa upande mwingine ufaulu wa somo hilo unadaiwa kuimarika. (Imehaririwa na @official_jennifersumi) #necta #barazalamitihani #hisabati #ufaulu #wahitimu #matokeo
#DidYouKnow the #AgaKhanMzizimaSecondarySchoolDaresSalaam offers scholarships to support outstanding students in their academic journey? 🌟 Meet Ayaan Premji, a Form 4 student and one of our #NECTA scholarship recipients. His dedication, hard work and strong academic performance have earned him this well-deserved opportunity. 🙌 At #AKESTanzania, we believe in recognising potential and opening doors for students to thrive. Could you or someone you know be next? Click the link in the bio and apply now and become a part of a school that invests in your future. #AgaKhanSchools #AdmissionsOpen #ScholarshipOpportunity #DaresSalaam #Tanzania @akdn
Physics through Educentre is super helpful and a game changer! Download the link in bio #edtech #PastPapers #PhysicsHelp #NewSyllabus #necta #Tanzania #viral #viralreels #
Je una mtoto wa kidato cha Nne au cha Pili? Huu ni Wakati sahihi sasa kupata mwalimu wa tuition atakaemsaidia mwanao kuimarisha matokeo yake ya NECTA mwaka huu. Karibu Silabu, Kwa huduma za tuition nyumbani tupigie kwenye namba zetu 0752156253 kupata huduma hii. . #NECTA #form4 #form2 #silabutuition #silabuapps #tuitiontanzania
Wa TAG & SHARE apa wanao wapenda cha mseleleko shule 😅😅🙌 #necta #shule #schoollife #explore #funny
NAMNA YA KUANGALIA MAJIBU YA MAOMBI YA CHUO(CBE) Video inaonesha namna ya kuangalia Majibu ya Chuo Cha CBE(College of business education) Huduma ya Maombi ya Vyuo vikuu inapatikana kwetu Kwa kuzingatia muongozo kutoka TCU KARIBU_TUKUHUDUMIE #tcu #necta
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili. Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa NECTA, Prof. Said Mohamed katika Ofisi za Baraza la Mitihani jijini Dar es Salaam. Prof. Mohamed amesema jumla ya wanafunzi 1,324,970 kati ya 1,490,314 wenye matokeo, sawa na asilimia 88.91 wamefaulu kuendelea na darasa la tano kwa mwaka 2026 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.67. Ameongeza kuwa wanafunzi 705,091 kati ya 811,074, sawa na asilimia 86.93 wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.52 ukilinganisha na matokeo ya mwaka 2024. Video kamili ipo Youtube, Global TV. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika. #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #globalpublishers #NECTA #MatokeoFormTwo #MatokeoKidatochapili #UpimajiKitaifa #Matokeodarasala4
Familia ya Bukoba Hope inawatakia kila la heri wanafunzi wa Darasa la Saba kwenye mtihani wa Taifa (NECTA). Tunaamini mtashinda na kufanikisha ndoto zenu! 🎓 #BukobaHope #FamiliaYaWashindi #buholuseonline #NECTA
Baraza la Mitihani la Taifa, NECTA limetangaza kuanza kwa mitihani ya Taifa kwa kidato cha sita na ualimu siku ya Mei 04,2026 katika mikoa yote 26, na maandalizi yamekamilika. #Habari #NECTA #Kigamboni #KigamboniYetu #Tanzania SAT MediaUpdates
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema watahiniwa 134,390 wanatarajia kuanza mtihani wa kidato cha sita kesho Mei 05, 2025, ambapo watahiniwa wa shule ni 126,957 na watahiniwa wa kujitegemea ni 7,433. NECTA imesema mwaka huu kuna ongezeko la watahiniwa 20,854, sawa na asilimia 18.4, ikilinganishwa na mwaka 2024 ambapo idadi ilikuwa 113,536. #kokorikomedia#habari#updates#necta
Tuna Nafasi za masomo Kidato cha Tano kuanzia July 2026 #necta #wizarayaelimu #wizarayaulinzi
back to up