instagram story viewer > #Ngome

#Ngome

Posts
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT wazalendo, Abdul Nondo akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara viwanja vya Mwembeyanga- wilaya ya Temeke ambapo amewaeleza vijana umuhimu wa kushiriki uchaguzi na kulinda kura Oktoba 2025. @Barakadon_ #WasafiDigital
Watu 436 wameuawa ndani ya saa 24 zilizopita mjini Gaza kutokana na mashambulio ya anga yaliyoendelea kufanywa na Israel, ambayo inajitetea kuwa inafanya hivyo ikizilenga ngome za kundi la wapiganaji wa Hamas. #AzamTVUpdates (Imeandaliwa na Onike Masayanyika na kuhaririwa na John Mbalamwezi)
Kuelekea Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Kinondoni. 📍Tukutane Ukumbi wa Ngome Saccos Africasana - Mwenge 🧑‍🧒‍🧒 Usipange Kukosa 🗓 Aprili 14, 2026 📌 Hakuna kiingilio WOTE MNAKARIBISHWA Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2026 "Tanzania Ni Yetu Sote, Tushikamane Kwa Pamoja Kuleta Maendeleo" @ofisi_ya_makamu_wa_rais @owm_tz @mwigulunchemba @ortamisemi @msemajimkuuwaserikali @wizara_elimutanzania @maendeleoyajamii @gwajimad @smtambule @mnyongesongoro @elihurumamabelya @jiji_la_dsm @ccmtanzania @waziri_wa_vijana @joelnanauka_ @ikulu_habari @dr.hmwinyi @daressalaam_rs_digital @wizara_afyatz @mohamed_mchengerwa @gwajimad @majid_k_abdilah 👆 Follow page yetu @kinondonimunicipal ili uweze kupata taarifa mbalimbali kwa wakati, Karibu.
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Abdul Omary Nondo, leo amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini leo Julai 15, 2025 Akizungumza baada ya kukabidhiwa fomu na Katibu wa Jimbo la Kigoma Mjini, Ndugu Iddi Adam Sumvya, Nondo amesisisitiza nia yake thabiti ya kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo. Ameeleza kuwa uamuzi wake unazingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 21, pamoja na Katiba ya ACT Wazalendo, Ibara ya 11(c) toleo la 2024. Hii si mara ya kwanza kwa Nondo kuwania nafasi hiyo. Mwaka 2020, alichukua fomu ya kuomba ridhaa lakini kura zake hazikutosha, na kiongozi mstaafu wa chama hicho, Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe, alipitishwa kuwa mgombea. “Dhamira yangu ya kugombea tena mwaka huu 2025 haikutikisika wala kuyumba,” Amesema Nondo akionyesha kujiamini katika uwezo wake, dhamira, na uelewa wake wa changamoto zinazowakabili wananchi wa Kigoma Mjini. ✍🏽 @bintiiringo #WasafiDigital
Kama hukutazama mahojiano ya One on One with @Charles_william2 aliyofanya na Janeth Rite, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Taifa, tayari tumekuwekea katika youtube channel yetu ya Wasafi Media.
Bila shaka haini LILLY anakwenda kuanguka hivi leo maana ngome yake aliosema hafiki mtu kikosi kazo Agila wameshafika na wanamwaga risasi kila kona TAMTHILIA YA BROTHERS IMEANZA SASA| ndani ya @startimes_swahili Lipia kifurushi chako mapema ili usikose burudani kali ndani ya startimes Antena - Mambo kwa 17,000 / Uhuru 23,000 au Dish - Smart kwa 23,000 / Super kwa 38,000 Ufurahie Burudani hii mwezi mzima... Bonyeza link kwenye Bio kupakua StarTimes ON kuangalia kiganjani #startimeson #brothers #startimescares #upendonaburudanizaidi
Israel imefanya mashambulizi mfululizo yanayotajwa kuwa ni ya aina yake mjini Gaza usiku wa kuamkia leo, yakitekelezwa na majeshi ya anga na ya ardhini ya nchi hiyo kwenye maeneo yanayotajwa kuwa ni ngome za wapiganaji wa Hamas. #AzamTVUpdates Imehaririwa na John Mbalamwezi
Gachagua: Kindiki anatumiwa kugawanya Mlima Kenya Muungana wa upinzani ukiongozwa na aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua leo imevamia ngome ya kisiasa ya naibu rais wa sasa profesa Kithure Kindiki, ambapo walimshtumu Kindiki kwa kile walichokitaja kama kutumika na rais Ruto kugawanya 'mlima.' #NTVWikendi
Ruto avamia kwa ujasiri ngome ya upinzani katika juhudi za kutafuta muhula wa pili. #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
VIGOGO WAWILI WAJIENGUA ACT-WAZALENDO ZANZIBAR Aliyekuwa Naibu Waziri Kivuli Utumishi wa Umma Halima Abbas Mohammed katika baraza la kisekta la ACT-Wazalendo pamoja na Aliyekuwa Katibu wa mipango na uchaguzi Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Hamad Mbarouk Juma wamejiondoa katika chama hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amewapokea wanachama hao leo Mei 17, 2025 katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika viwanja vya Mpendae Zanzibar cc: @rashidbattashy #WasafiDigital
Ukisikia utani wa ngumi ndio huu hapa Sasa Cc:- @malkiarosemuhando @oficial_bonymwaitege @obbyalpha Karibu sana kwenye Ibada za Ngome Ya Yesu Kristo, Kimara Temboni 🔥🔥🔥🔥🔥 Endelea kufuatilia LAGE ONLINE TV kwenye Mitandao yote ya kijamii @lage_online_tv
Ngome Kongwe also known as The Old Fort, is located in Stone Town, Zanzibar, where it is regarded as one of the oldest buildings in Stone Town. The Old Fort was built in the late 17th Century by the Omani Arabs after taking control of the island from the Portuguese, it is believed that the site was once the foundation of a Portuguese Chapel. The Fort served multiple purposes during its reign, as the military base, a prison, and a trade center among merchants from the Middle East, India, and Africa. Currently, this ancient fort is used as a Cultural Center, Entertainment Theater, and a venue for hosting events such as the Zanzibar International Film Festival (ZIFF). Why not consider adding The Old Fort to your Bucket list? 📍Zanzibar Islands ✍🏾 & 🎥: @ygmbaruku #tanzaniasafarichannel #tbc #zanzibarislands #ngomekongwe #theoldfort #visittanzania
back to up