Habibi welcome to Dubai 🇦🇪upate michongo
Tunawakaribisha Diaspora wote wa Dubai January 21, hadi 25, 2026 pale Tanzania Consute Dubai. Njoo ufungue akaunti, upate huduma za Benki Kidigitali, Bima, mkopo wa nyumba hadi shiling bilioni 1.
Usikose - njoo na kitambulisho cha NIDA, passport, na visa/ kibali ili upate huduma za kibenki kutoka CRDB maalum kwa Diaspora
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi:
[email protected] au
[email protected],
WhatsApp +255 713 502 381
#CRDBBank
#Tunakusikiliza
#Diaspora Banking
#Benkibilamipaka