Mwamba hana taa ila yupo kibati balaa🤣
#foryou #udom
Karibu Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Karibu Dodoma karibu Tanzania kitovu Cha elimu Bora
Credits: SharkAnArt
#udom
Umependa nini kutoka kwao😍❤️🙌.
@mwanachuo_got_talent
@mwanachuofamily
#university #dancechallenge #udom #udsm #tanzania
Wakazi na wanafunzi wilayani Kondoa wafurahia intaneti ya bure yenye kasi, kupitia mradi wa kusambaza huduma hiyo kwenye vituo vya jamii na shule unaotekelezwa na UDOM kwa kushirikiana na UNICEF Tanzania.
@uniceftz @tcra_tanzania @wizara_elimutanzania @dr_matogoro
#UDOM #Jamii #UNICEF #Kondoa #Elimu
Huyu hapa Alikiba kutoka UDOM 😂
#UDOM #concept_radiotz #alikiba
#chuokwachuo .........AMKA SASA UNAWEZA TUSUA WEWE NI MWAMBA
#udom #udsm #tia
Kwenye dunia ya kidigitali, si kila kinachoonekana ni ukweli… na si kila mfumo uko salama.
Cybersecurity siyo tu kulinda mitandao ni vita ya akili dhidi ya wahalifu wa kidigitali. Ni kuhakikisha taarifa zinabaki salama, mifumo inalindwa, na siri hazivujishwi.
Digital Forensics ni jicho la uchunguzi—linachambua audio, video, data na kila alama ya kidigitali ili kubaini ukweli uliojificha. Ni pale ambapo “ushahidi wa kweli” unatolewa ndani ya dunia ya teknolojia.
Hii siyo kozi ya kawaida. Hapa tunazungumzia,
Security Engineers, Red Team & Blue Team, Cyber Analysts, Network Experts, Digital Forensics Specialists
Hawa ndio walinzi wa dunia ya leo. Wataalamu wanaopambana kimya kimya kuhakikisha usalama wa taarifa zako.
Kama unataka kuwa sehemu ya kizazi kinacholinda ukweli na usalama wa mtandao hii ndio njia.
Future iko kwenye data… swali ni: utaimudu au itakumudu?
#cybertruck #classroomtotheworld #education #universitystudent #udom
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) imeitaka Serikali iunde timu mpya kwaajili ya uchunguzi wa kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma ambaye chanzo chake bado hakijafahamika.
BAVICHA wamesema hawaoni kwanini Jeshi la Polisi Dodoma lihusike kwenye uchunguzi huo kutokana na mwanzo kudai kutokulijua tukio la kifo cha mwanafunzi huyo.
#mwanafunzi #udom #bavicha #timu #uchunguzi #kifo #polisi
#cmbdodoma kata nywele pendezaaa @bungenidodoma#cbe #udom
TIGO / YAS KINARA NDIO HABARI YA MJINI USIPANGE KUKOSA HIII , LETE KAZI NDANI YA DK 5 TU UNAANZA KUFURAHIA GB ZAKO KWA BEI NAFUU
#bando #bandofun #trend #yas #yasbando #viral #udom #udsm #tumainuniversity #kamplauniversity #ruccu #ruco #reels
UTALIWA TU
song @diamondplatnumz @itsdvoice
#challenge #iphone #donboyofficial #udom #iyo
Collaboration is key to achieving #HakiHainaJinsia.
#UDOM
#HakiHainaJinsia