instagram story viewer > #udsm

#udsm

Posts
Habari za leo? Naomba utangaze kwenye ukurasa wako huenda mhusika akapatikana. Hiki cheti kiliokotwa chuoni UDSM mwaka jana. Kilitangazwa kwenye magroup ya college lakini Mhusika hakupatikana. Huenda hajui alikopotezea na labda ameshakitafuta sana bila mafanikio. Inawezekana pia kuna mambo anashindwa kufanya kwa kukosa cheti hiki. Ikiwa Mhusika atasoma ujumbe huu au mtu yeyote anayemfahamu amjulishe kwamba cheti chake kipo, apige simu namba 0623436742.
Monday๐Ÿค. #fyp #daressalaam๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #udsm #uni
UDSM MMEJUA KUNIFURAHISHA ๐Ÿฅฐโค๏ธโ€๐Ÿฉน... ASANTENI KWA ZAWADI HII . . . FOLLOW @pierre_de_perito #pierredeperito #sms #tanzania
๐–๐ก๐ž๐ซ๐ž ๐ˆ๐๐ž๐š๐ฌ ๐†๐ซ๐จ๐ฐ ๐๐š๐ญ๐ฎ๐ซ๐š๐ฅ๐ฅ๐ฒ At UDSM, learning isnโ€™t confined to lecture halls; it flows through every green path, every quiet corner, every breath of fresh air. Here, nature doesnโ€™t just surround us, it inspires us. It sparks ideas, clears minds, and fuels the ambition that shapes tomorrowโ€™s leaders. From peaceful walks between classes to moments of reflection under open skies, every experience becomes part of the journey toward greatness. ๐‘ผ๐’๐’Š๐’—๐’†๐’“๐’”๐’Š๐’•๐’š ๐’๐’‡ ๐‘ซ๐’‚๐’“ ๐’†๐’” ๐‘บ๐’‚๐’๐’‚๐’‚๐’Ž, ๐’˜๐’‰๐’†๐’“๐’† ๐’๐’‚๐’•๐’–๐’“๐’† ๐’Š๐’๐’”๐’‘๐’Š๐’“๐’†๐’” ๐’Ž๐’Š๐’๐’…๐’”, ๐’‚๐’๐’… ๐’…๐’“๐’†๐’‚๐’Ž๐’” ๐’•๐’‚๐’Œ๐’† ๐’“๐’๐’๐’•.
JAMANI TUSOMENI JAMANI ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ #tanzania #universitylife #bestfriends #udsm #viralvideos
HAJI ATHUMANI KUANZA TARATIBU ZA KUREJEA UDSM JUMATATU Mwanafunzi Haji Athumani anatarajiwa kuanza rasmi mchakato wa kufuata utaratibu wa kurejea masomoni katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuanzia Jumatatu ijayo, Mei 04. Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa busara uliotolewa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. William Anangisye, baada ya kukutana na kijana huyo leo Mei 02 na kuridhia arejee kukamilisha safari yake ya kitaaluma. Haji alikuwa mwanafunzi wa chuo hicho katika mwaka wa masomo wa 2020/2021, lakini alilazimika kukatisha masomo kutokana na hali ngumu ya maisha. Kwa mujibu wa maelekezo ya Prof. Anangisye, Haji anapaswa kufika chuoni siku ya Jumatatu kuanza kushughulikia taratibu zote za kiutawala na usajili zinazohitajika ili kumrejesha rasmi kwenye mfumo wa masomo. #mlimaniupdates #mlimanitvofficial #mlimanitvudsm #mlimaniradio #udsmofficial
Library time at UDSM.
MARKS MOJA INAWEZA KUFANYA USIVAE KIKOFIA ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช #viralvideos #tanzania #universitylife #udsm #trendings
Namimi nomesoma Dancing UDSM ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ........ #swahiliwavesupdates #swahiliwave
Tanzanians are so kind ๐Ÿฅฐ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #fypreels #udsm #university #nigeria
Kwani wengine wantoaga wapi ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ’” #songatz #mzumbeuniversitymbeyacampuscollege #udomambassador #sautiuniversity #udsm
Welcome to the University of Dar es Salaam โ€“ where knowledge meets innovation, culture, and breathtaking views! Whether you are here to study, research, or simply explore, UDSM invites you to discover a world of endless opportunities. #UDSM #ExploreUDSM #UniversityLife #HigherLearning #DarEsSalaam #CampusTour #FutureBeginsHere
back to up