Instagram story viewer> @shebuge_> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
🎬 Karibu kwenye MASTERCLASS ya BUGE SESSION SEASON 3
πŸ“… Tarehe: 25 Agosti – 25 Septemba, 2025

Ni muda wa kuinua ubora wa kazi zako za videography & photography!
Jifunze moja kwa moja kutoka kwa Director Shebuge, mtaalamu mwenye uzoefu mkubwa katika utengenezaji wa filamu na maudhui ya kisasa.

πŸŽ₯ Mambo utakayojifunza:
βœ… Framing & Composition
βœ… Matumizi sahihi ya kamera
βœ… Editing & Color Grading
βœ… Storytelling kwa video
βœ… Branding, Marketing & Networking

πŸš€ Ikiwa wewe ni mzalishaji wa maudhui, mpiga picha, au mpenda filamu – hii ni fursa yako ya kipekee kuwekeza kwenye ubunifu na taaluma yako!

πŸ‘‰ Usikose nafasi hii ya kipekee – nafasi ni chache!

#STUKIAFURSA #BugesessionSeason2 #FilmMasterclass #Shebuge #Videography #Photography #LevelUpYourCraft taken in Dar es Salaam, Tanzania by @shebuge_
3
a year ago
Download
Fursa hii inakualika kwenye Creative Workshop ya BUGE SESSION, ambapo Director MAJAG @majagiking atakuwa nawe, akikuongoza na kukufundisha mbinu za kisasa katika maeneo kama framing composition, matumizi ya kamera, editing, color grading, pamoja na mbinu za network na marketing. Hii ni nafasi ya pekee ya kuboresha ufanisi wako katika mawasiliano na ubunifu. #STUKIAFURSA
.
.
.
#film #movie #cinema #movies #filmphotography #photography #actor #art #filmmaking #mm #cinematography #films #hollywood #love #filmmaker #s #music #filmisnotdead #director #actress #tv #video #instagood #horror #netflix #shortfilm #filmcommunity #drama #analogphotography taken in Dar es Salaam, Tanzania by @shebuge_
66
2 years ago
Download
BUGE SESSION MASTERCLASS inaanza rasmi mwezi Machi.
Jitayarishe kujifunza kwa vitendo na kuinua kiwango chako.
Are you ready? by @shebuge_
1
6 months ago
Download
BUG SESSION MASTERCLASS 2025 πŸŽ¬β€¨Shukrani za dhati kwa Director Folex, Director Majag, Director Joowzey, Director Creator Pro, Director Mufasa, Director Kilubi, Director Yuzo Bright FX, Reggy Masai, pamoja na wadau wetu wa kiufundi Robby Rental, New Era Rental na Grips and Spark Tanzania.
Asanteni kwa mchango wenu mkubwa πŸ™
TWENDE PAMOJA 2026 πŸš€
@fole_x 
@majagiking 
@joowzeytz 
@visior_mufasa 
@creatorpro5 
@kilubionit 
@yuzobright_fx 
@reggie_masai 
@robylights 
@newerafilmstz 
@cleavergrip taken in Tanzanite park, Dar es Salaam by @shebuge_
4
7 months ago
Download
πŸŽ‰ 2025 RECAP || BUGE SESSION MASTERCLASS ||
Reflecting on an amazing year of learning, growth, and mastery! πŸš€πŸ’‘
#BugeMasterclass #2025Recap #LevelUp #LearningJourney taken in Tanzanite park, Dar es Salaam by @shebuge_
2

Shukrani πŸ™ by @shebuge_
0
10 months ago
Download
Shukrani πŸ™ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @shebuge_
0
10 months ago
Download
BUGE SESSION - Wanafunzi wa SEASON 3 walipata fursa adhimu ya kutembelea Kampuni ya
GRIPS & SPARK @gripandsparks.tz tz ambayo inajihusisha na vifaa vya taa (light) na kamera kwa ajili ya uzalishaji wa maudhui ya kisasa.
llikuwa ni ziara yenye elimu, msisimko na mwanga mpya kwa wanafunzi wetu katika kuelewa teknolojia na ubunifu unaotumika katika tasnia ya filamu na uzalishaji wa video.
.
.
.
#videography #photography #video #videographer #cinematography #photographer #wedding #filmmaking #videoproduction #filmmaker #instagram #love #film #photoshoot #cinematic #music #photooftheday #instagood #videos #cinematographer #weddingphotography #canon #art #videooftheday #photo #videoshoot #videoediting #musicvideo #camera #behindthescenes taken in Dar es Salaam, Tanzania by @shebuge_
2
10 months ago
Download
πŸŽ₯ BUGE SESSION MASTERCLASS
Jifunze kwa vitendo jinsi ya kutengeneza maudhui ya kuvutia kwa picha na video!
Ongeza maarifa yako, panua ujuzi wako, na fungua milango ya fursa katika tasnia ya ubunifu wa kidijitali.

πŸ“ Chukua fomu yako sasa – nafasi bado zipo!
Usikose hii nafasi ya kipekee kubadilisha safari yako ya ubunifu. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @shebuge_
1
10 months ago
Download
πŸŽ₯ BUGE SESSION MASTERCLASS
Jifunze kwa vitendo jinsi ya kutengeneza maudhui ya kuvutia kwa picha na video!
Ongeza maarifa yako, panua ujuzi wako, na fungua milango ya fursa katika tasnia ya ubunifu wa kidijitali.

πŸ“ Chukua fomu yako sasa – nafasi bado zipo!
Usikose hii nafasi ya kipekee kubadilisha safari yako ya ubunifu. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @shebuge_
1
10 months ago
Download
BUGE SESSION - Wanafunzi wa SEASON 3 walipata fursa adhimu ya kutembelea Kampuni ya
GRIPS & SPARK @gripandsparks.tz tz ambayo inajihusisha na vifaa vya taa (light) na kamera kwa ajili ya uzalishaji wa maudhui ya kisasa.
llikuwa ni ziara yenye elimu, msisimko na mwanga mpya kwa wanafunzi wetu katika kuelewa teknolojia na ubunifu unaotumika katika tasnia ya filamu na uzalishaji wa video. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @shebuge_
0
10 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up