Instagram story viewer> @meneja_badloso> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Asante sana ndugu jamaa na marafiki na wadau pamoja na wasanii na mameneja wote na media zote mliojitokeza  kuja kunisapoti kwenye shughuli ya kumtambulisha msanii wetu wa kike  @kikimay_official kwa mara ya kwanza ndani ya @internationalgang255 Asanteni sana tena sana by @meneja_badloso
7
2 days ago
Download
WELCOM TO THE GAME MDOGO ANGU KIKI MAY by @meneja_badloso
25
3 days ago
Download
Nakwambia siku iyo ya tarehe ya 23 itakuwa patashika nguo kuchanika yan mapema kutakuwa na mechi kati ya Watoto wa Ushwahilini na @internationalgang255 na baada ya hapo watu wote tunakutana @tiptop_pub kwenye shughuhuli yenyewe ya kumtambulisha msanii wetu wa kike hapo ni mwendo wa vibe tu yan ndugu yangu @msakadaily umeyakanyaga by @meneja_badloso
5
5 days ago
Download
SIAKALETA ZA BALAA MI NAKUJA by @meneja_badloso
1
8 days ago
Download
Nakwambia siku iyo ya utambulisho wa msanii wetu mpya wa kike ndani ya @internationalgang255 kazi ipo hapo @tiptop_pub vumbi litatimka pia ndugu yangu @msakadaily umeyakanyaga nadhani umewaskia vijana wangu hao hawakuachi jino moja siku iyo Watoto wa Uswahilini ni lazima tuwafunge by @meneja_badloso
14
9 days ago
Download
HABARI NDUGU JAMAA RAFIKI NA MASHAKI NAPENDA KUWATAARIFU NA KUWAKARIBISHA SIKU YA TAREHE 23/7/2026 ALHAMISI IJAYO @internationalgang255 ITAKUWA IKITAMBULISHA MSANII MPYA WA KIKE KWENYE GANG IVYO TUNAOMBA SAPOTI YAKO SHARE ILO TUKIO TUNASHUKURU SANA🙏🏿🙏🏿🙏🏿 by @meneja_badloso
8
10 days ago
Download
Kaeni mkao wa kula tarehe 23 mwezi huu @tiptop_pub itakuwa balaa sana yan tukitoka kwenye mechi yetu na watoto wa Uswahili Vs International Gang tunaingia kwenye show ya kumtambulisha msanii wetu Tip top hakuna kupoa by @meneja_badloso
10
10 days ago
Download
Tarehe 23 tarehe 23 tarehe 23 ndani ya @tiptop_pub kwa mara kwanza @internationalgang255 inaenda kujenga historia ya kumtambulisha msanii wa kike kwenye gang……..Je unatamani kujua ni msanii gani ambae tumemsaini na tunaenda kumtambulisha??? Kaa karibu na page zetu na endelea kutufatilia
@singeli_trending @singelimedia @singeli_kitaa @singeli.kitaa @singelirevolution @peniya_singeli @misele_ya_singeli @motivationsingeli @vidoboy_tz @mido_focus_tv @efmtanzania by @meneja_badloso
12
11 days ago
Download
Chanika jana iliburudishwa pia na mkali wa stage @dee_yuzzy pale @onepoint__bar shangwe lilikuwa lakutosha by @meneja_badloso
2
17 days ago
Download
🇹🇿 USIKU WA WASWAHILI 🇹🇿
Usiku unaonoga kwa muziki wa nyumbani na vibe za kweli. Jumatano hii, @dee_yuzzy anakuja kuwasha @onepoint__bar kwa burudani isiyo na mbadala. 🔥

🎤 @dee_yuzzy 
📍 One Point Bar – Chanika
📅 08 July | Jumatano

Ukikosa hii… utasikia kwa waliokuwepo. by @meneja_badloso
1
18 days ago
Download
Last night ilikuwa pouwa sana wana @internationalgang255 tulijumuika pamoja na ndugu yetu @eyoo_kenny kusherekea siku yake ya kuzaliwa pale Kb Tegeta vibe lilikuwa kubwa sana mungu ampe maisha marefu ndugu yetu @eyoo_kenny aendelee kuhudumu kwenye kiwanda chetu cha singeli by @meneja_badloso
25
21 days ago
Download
Anaitwa @dee_yuzzy a.k.a mkali wa stage kutoka @internationalgang255 tukitia ndala @bongotzfm kwajili ya Intervew mwendo ni ule ule mchaka mchaka by @meneja_badloso
2
22 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up