Visionneuse de stories Instagram> @hansrafael14> Publications
2341
publications
1.1M
abonnés
531
abonnements
@supersporttv football commentator
Sports analyst crownfmtz
Brand influencer dstvtanzania lpmbet.co.tz
PUBLICATIONS STORIES REELS TAGUÉ
Tout Télécharger
Mungu wangu amefanya tena,Welcome the beast into the town to conquer the roads🚖🎥 @claudiopolycarp_6 ##################Kama unahitaji kuagiza gari kutoka Japan,Dubai na Singapore wacheki @kimomwemotors_ltd by @hansrafael14
1k
il y a 6 mois
Télécharger
Wazee wenzangu hii ni ishara tosha kwamba world Cup hakuna mnyonge hivyo tuwe makini na kanji…..hawa wakubwa wanakaziwa sana😄 by @hansrafael14
110
il y a une heure
Télécharger
🚨🚨DONE DEAL: Baada ya mazungumzo ya muda mrefu leo nimefikia makubaliano ya kusaini mkataba na kampuni namba moja ya kuuza na kuagiza magari Tanzania @saharaautolinktz kama Balozi wao Mpya✅Kila kitu kimekamilika hivyo Hans Rafael ni balaa jipya@saharaautolinktz ✅Asante Mungu,asanteni Wadau wangu 🙏Kama unahitaji gari kali na ya kisasa tucheki kupitia 0791666101. by @hansrafael14
68
il y a 6 heures
Télécharger
🙌🏼🙌🏼🙌🏼 Wawekezaji Muda Wa Kupoteza Hawana Kabisa, Hoteli Iyo Hapo Ya Viwango Kabisa📌PIA UNAWEZA UKATEMBELEA MOJA KWA MOJA OFISINI KWETU 📍URAFIKI KILIPOKUA KIWANDA CHA NGUO-DSM 📍MLIMWA C-DODOMA📍MWANZA-NYASAKA CENTRE📍ARUSHA-OPPOSITE NA ST THOMAS HOSPITAL KARIBU UJIPATIE RAMANI ZA NYUMBA Design: Lodge (21 Rooms) 1. Twenty one self-contained Rooms2. Reception 3. kitchen 4. lounge 5. conference hall 🥇Nyumba ina ukubwa wa 16m kwa 17m ...✏️inatosha kwenye kiwanja cha kuanzia 20m kwa 20m na kuendeleaContactWhatsapp /call+255 713 778 937 Au Follow @Aloyce_builders @aloyce_builders @aloyce_builders @aloyce_builders @aloyce_buildersKwa Furniture Nzuri Follow @Aloyce_FurnituresKwa Viwanja Na Mashamba Follow @Surveyor_aloyce#dreamhouse #dreamhome #realestate #interiordesign #architect home homedecor luxuryhomes house housedesign design luxury realator luxuryrealestate interior homedesign homesweethome housegoals realestateagent luxurylifestyle newhome luxuryhome househunting property housedesign dreamhome forsale luxuryhouse newconstruction decor by @hansrafael14
2
il y a 12 heures
Télécharger
Habari kubwa inakuja kaa karibu na @usajili_na_hansrafael14 by @hansrafael14
210
il y a un jour
Télécharger
🚨𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: It’s Over kati ya Yanga na nyota wake watatu🙌Muda wowote kuanzia sasa Yanga itatangaza kuachana na vyota wake watatu (Ecua,Doumbia na Ikangalombo) ambao wote walikuwa kwa mkopo kwenye vilabu tofauti.Yanga wameamuwa kuachana na wachezaji hao baada ya kushindwa kuonyesha kiwanjani.Next ni Buba ⏭️Kaa karibu na @usajili_na_hansrafael14 by @hansrafael14
771
il y a un jour
Télécharger
🚨𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐃𝐄𝐀𝐋: Azam FC wafikia makubaliano ya kumsaini mshambuliaji hatari wa KCCA ya Uganda🇺🇬 Ivan Ahimbisibwe (30).Jana niliripoti kuwa Azam wametuma ofa kwenda KCCA,hatimae leo ofa hiyo imekubaliwa na tayari Azam wana makubaliano binafsi na mchezaji hivyo muda wowote kutoka sasa namba 9 huyo atatambulishwa rasmi.Msimu huu Ivan Ahimbisibwe,ametwaa kiatu cha mfungaji bora wa ligi ya Uganda baada ya kufunga goli (14).Ivan ni Balaa jipya mjini✅@usajili_na_hansrafael14 by @hansrafael14
78
il y a un jour
Télécharger
Dawati la uchambuzi linakuambia..... Kuanzia tarehe 11 Juni mpaka 19 Julai,👇️"KILA KITU KITASUBIRI ila sio mechi 104, nchi 48 ndani ya siku 39 ⚽️🌍"📍: Kwa lugha ya KISWAHILI💰: Kifurushi cha Bomba - Tshs. 27,500👌🏾☎️: *150*53# kulipia kifurushi chako.#DStvFIFAWorldCup2026 #Kilakitukitasubiri #everythingcanwait by @hansrafael14
63
il y a un jour
Télécharger
Anaitwa Ederson namba 8 ya mpira,amejiunga na Man Utd kwa €45m.Next ni Mateus Fernandes na Sandro Tonali😄 by @hansrafael14
113
il y a 2 jours
Télécharger
Kiungo wa Serengeti Boys Issah Chole 16 ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mashindano.Chole ana ofa ya $190,000 kutoka Slavia Prague ya Ulaya.Kipaji halisi cha mpira🔥 by @hansrafael14
581
il y a 2 jours
Télécharger
Well done Boys,hatuwadai chochote,mmelipambania Taifa kwa moyo na nguvu yenu yote💪Watanzania tunajivunia kiwango chenu🙌 by @hansrafael14
448
il y a 2 jours
Télécharger
Shida ilianzia hapa…..nilijua tu😄Hamasa zikianza kila kitu kinaharibika😄 by @hansrafael14
2k
il y a 2 jours
Télécharger
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up