Instagram story viewer> @mosalum01> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
UMEANGALIA KOMBOLELA..!🥹

Editor // @mosalum01 by @mosalum01
270
a year ago
Download
Binti Msumi hana moyo wa kawaida jamani 🥹

#KombolelaSeries #KombolelaSeason2 by @mosalum01
247
7 months ago
Download
Don't Miss 
Tamthilia ya Kombolela itaanza kuruka tarehe  13 saa 1:30 usiku kila  Ijumaa _ Jumapili kupitia kisimbuzi cha Azam Tv
@sinemazetuhd 
@nabra_creative_company 
@abdullywriter by @mosalum01
32
2 years ago
Download
Aliyekutelekeza katikati ya bahari, hana haja ya kuuliza umefikaje nchi kavu.
_Hair by @jojobeauty_saloon_mabibo ❤️ by @mosalum01
33
a day ago
Download
Katika vitu ambavyo siwezi kuvisahau ni hizi Moment jamani!!!😊Ngoi hapa ulikuwa unanipa story gani?!!😂😂❤️

@ngoi_wa_kombolela by @mosalum01
17
5 days ago
Download
HATIMAE BUBU KAONGEA 😁😁😁

Katika harakati za “kusomesha” huyu mtoto ‘TABU’ @happyswebe akajifanya bado ni bubu wakati Binti Msumi alishabwaga tunguli zake 

Bi Msumi @binti_msumi si akamchana  bwana aache zake na aelewe somo?😂😂😂😂Binti Msumi ndo mchizi wangu sasa kuanzia sasa 

#mtaa107 #kuvifatcts by @mosalum01
78
8 days ago
Download
Ni mengi nimepitia katika nyumba hii ya Mzee kikala, nimejifunza vitu vingi sana lakini katika yote niliyowahi kuumizwa katika nyumba hii bado itakuwa historia kwangu, nimeamua kumsamehe Kobisi japo siwezi kusahau kumbukumbu mbaya za hii nyumba💔😭

#KombolelaSeason2
Asanteni mashabiki wote wa tamthilia ya Kombolela kwa kunipokea katika safari yangu ya uigizaji, pia mashabiki wa Tabu popote mlipo nawapenda sana🫂❤️❤️

_ Asante my kaka kwa kila kitu @abdullywriter hii Kombolela imeweka historia kubwa katika maisha yangu, nakumbuka maneno uliyoniambia siku ya kwanza tu nilipokuja ofisini, kuna wakati najiskia hata kulia nami acha niseme my kaka maandishi yako ayaongopii!!! ✍️🙌🏿❤️

# Ni muda wa kuondoka Kimanzichana sasa😭 by @mosalum01
57
8 days ago
Download
Baada ya muda mrefu kupita leo Kobisi anamuomba msamaha Tabu kwa kitendo cha ukatili alichomfanyia. Natamani Kobisi angeenda jela ila kwa wema aliotufanyia baba mzee Kikala na dada Chiku , Tabu anaamua kumsamehe🙌🏿💔

#KombolelaSeason2
Asanteni mashibiki wote wa tamthilia ya kombolela na mashabiki wa Tabu nawapenda sana ni muda wa kuondoka Kimanzichana 😔🫂❤️ by @mosalum01
23
8 days ago
Download
Usikose kuangalia Kombolela leo🙌🏿🔥
#KombolelaSeason2 by @mosalum01
0
8 days ago
Download
Only God🩷 by @mosalum01
19
12 days ago
Download
Binti msumi anadharirika😦
#Kombolelaseason2🙌🏿❤️ by @mosalum01
7
14 days ago
Download
Zanzibar soap🙌🏿❤️
#Tembelea sabasaba katika banda la Zanzibar soap ujipatie bidhaa nzuri za asili. by @mosalum01
6
18 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up