Instagram story viewer> @pet_a_tree_tanzania> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Siku ya jana @pet_a_tree_tanzania tanzania tulifanikiwa kushiriki katika kilele cha siku ya maadhimisho ya mazingira dunia ambapo tuliweza kuonana na kukutana na watu mbalimbali katika siku adhimu kama hii pia sisi kama @pet_a_tree_tanzania tanzania tunapenda kuipongeza @ofisi_ya_makamu_wa_rais @nemctanzania kwa maandalizi mazuri ya maadhimisho aya yaliyofanyika dodoma pia tunampongeza mheshimiwa makamu wa Rais balozi @nchimbie kwa ujumbe wake mzuri kabisa sisi kama @pet_a_tree_tanzania tumejifunza mambo mengi sana pia sisi kama @pet_a_tree_tanzania tutatekeleza yale yote ambayo katibu mkuu pamoja na ofisi yake wameya adhimia kupitia program ya mageuzi ya usimamizi wa mazingira kuelekea dira ya 2050 @unep @nemctanzania @ofisi_ya_makamu_wa_rais taken in Iringa Town-Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
2
4 months ago
Download
Jumatatu ya kibabe kabisa tunakutana Viwanja vya mkwawa mechi 3 ndani ya eneo moja na zote zikipigwa dakika 90 hii ndio ubaya ubwela yenyewe na matokeo ya michezo hii yatakuwa live kabisa so stay tune kujua ni redio gani itaenda kuwa live siku hii  Panda mti okoa mazingira tumia nishati safi taken in Iringa Town-Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
3
6 months ago
Download
MDHAMINI WA MAZINGIRA
Tunayo furaha kutangaza rasmi kampuni ya Vodacom @vodacomtanzania kuwa ni mdhamini rasmi na mshiriki mkuu wa Kampeni ya Utunzaji wa Mazingira Mkoani Iringa 🌱

Kampeni hii inalenga kuhamasisha jamii nzima kushiriki kikamilifu katika kulinda mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi kupitia kauli mbiu: “Panda Mti, Okoa Mazingira, Tumia Nishati Safi.”

Tarehe Muhimu za Kampeni
📅 23: Upandaji miti katika shule za msingi na sekondari
📅 24: Upandaji miti katika vyuo na taasisi za elimu ya juu
📅 25: Kilele cha kampeni – tukio kubwa la kijamii la upandaji miti na utunzaji wa mazingira litakalo ongozwa na Mh. Khery James @comradekheri Mkuu wa Mkoa wa Iringa 

Kupitia ushirikiano huu, Vodacom @vodacomtanzania itashiriki moja kwa moja katika shughuli zote za kampeni, ikiwa ni pamoja na upandaji miti na uhamasishaji wa jamii kuhusu matumizi ya nishati safi na uhifadhi wa mazingira.

Tunakualika jamii ya Iringa kushiriki kwa wingi katika harakati hizi muhimu za kijani by @pet_a_tree_tanzania
11
6 months ago
Download
*MHE. BENJAMIN SITTA KUZINDUA KAMPENI YA UTUNZAJI MAZINGIRA APRIL, 23* 

Uzinduzi wa Kampeni ya Utunzaji Mazingira unatarajiwa kufanyika Aprili 23, 2026 katika Shule ya Sekondari Lugalo, Manispaa ya Iringa ukihusisha zoezi la upandaji miti katika shule za msingi na sekondari pamoja na uzinduzi wa vilabu vya mazingira (Environment Clubs). Hafla hiyo inatarajiwa kuongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mhe. Benjamin Sitta. 

Akizungumza Ofisini kwake Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Benjamin Sitta amesema Kampeni hiyo ni muhimu Kwani inaikumbusha jamii kuhusu umuhimu wa utunzaji wa mazingira kupitia upandaji miti na matumizi ya nishati safi, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira. 

Aidha amewasihi Wananchi wa Wilaya ya Iringa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika kampeni hiyo, ili kuchangia juhudi za kulinda mazingira na kuhakikisha uwepo wa mazingira endelevu kwa vizazi vya sasa na vijavyo. #iringa_town #environment #pandamtiokoamazingiratumianishatisafi taken in Iringa, Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
0
6 months ago
Download
Leo Kamati ya Maandalizi ya Kampeni ya Panda Mti, Okoa Mazingira, Tumia Nishati Safi imefika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa kwa ajili ya kufanya maandalizi na uratibu wa utekelezaji wa kampeni hiyo inayotarajiwa kufanyika mwezi Aprili, 2026. 

Akizungumza katika kikao hicho, Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa (DED), Bi. Zaina Mlawa, amepongeza jitihada za taasisi ya Pet a Tree Tanzania kwa kuandaa kampeni hiyo muhimu. 

Aidha, amesisitiza umuhimu wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki, akieleza kuwa ni hatua muhimu katika kulinda mazingira na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Kampeni hiyo inaandaliwa kwa kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Pet a Tree Tanzania, ikiwa na lengo la kuwajengea wananchi uelewa juu ya umuhimu wa kupanda miti, kuhifadhi mazingira pamoja na kuhamasisha matumizi ya nishati safi.#iringatanzania🇹🇿 #environment #pandamtiokoamazingiratumianishatisafi taken in Iringa Town-Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
7
6 months ago
Download
A new home for a new mom in town with 15 children 🤯#farm #farmhouse #chicken #batamzingawanauzwa #farmer taken in Iringa Town-Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
0
6 months ago
Download
Siku ya leo tulikuwa na familiy meeting bwana ila wakati wa kikao baby black yeye alikuwa ni mpinga maendeleo tu wenzake wanajadili juu ya kuongeza familia ila yeye ataki 🤣#farm #farmlifebestlife #cow #animal #farmhouse taken in Iringa Town-Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
1
7 months ago
Download
Happiness and freedom are the right of every living being, as you can see, our beautiful Janeth is very happy.  Kama ng’ombe amekubali wimbo mkali we nani upingeee 😜 @diamondplatnumz #farm #farmhouse #trendingreelsvideo #cow #wasafi taken in Iringa Town-Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
1
7 months ago
Download
Eid Mubarak loved one’s #farm #farmlifebestlife #trendingreelsvideo #islam #eidulfitr taken in Iringa Town-Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
0
7 months ago
Download
Farm of Batamzinga #farm #farmhouse #animal #batamzingawanauzwa taken in Iringa Town-Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
2
7 months ago
Download
#farm #farmlifebestlife #trendingreelsvideo #batamzingawanauzwa taken in Iringa, Tanzania by @pet_a_tree_tanzania
0
7 months ago
Download
Life la kituristi meet our litter tribe #farm #farmlifebestlife #farmhouse #animal #cow by @pet_a_tree_tanzania
1
7 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up