Instagram story viewer> @caring_heart_vision_foundation> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
DON'T PLAN TO MISS πŸ™πŸΏ

#fromourheartstotheirhands taken in Mbeya Town, The Green City. by @caring_heart_vision_foundation
5
5 days ago
Download
22-08-2026 HII SI YA KUKOSA!!!πŸ”₯

#FromOurHeartToTheirHands taken in Mbeya Town, The Green City. by @caring_heart_vision_foundation
3
9 days ago
Download
Tuanze na maombi ya watoto wema wa Mwenyezimungu πŸ€πŸ’πŸ™ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @caring_heart_vision_foundation
1
18 days ago
Download
Usikate tamaa, inawezekana.
DISABILITY IS NOT INABILITY 
#Hope #Healing #Physiotherapy #UpendoCentre #Recovery taken in Kimara Suka by @caring_heart_vision_foundation
14
a month ago
Download
❀️ ELFU MOJA ELFU MOJA CAMPAIGN ❀️

Je, unajua kuwa TSh 1,000 tu inaweza kuleta tabasamu na matumaini kwa mtoto anayehitaji msaada?

Caring Heart Vision Foundation inakualika kuwa sehemu ya Charity Season 5 kwa kuchangia kuanzia TSh 1,000 ili kufanikisha huduma kwa watoto wa Raising Orphanage – Simambwe, Mbeya.

🎯 Mahitaji makuu:
πŸ“š Vifaa vya shule
✏️ Counter books
πŸ“– Limu
πŸŽ’ Mahitaji mengine ya wanafunzi wa sekondari

πŸ’³ Changia kupitia Vodacom Lipa Namba:
351954500
Jina: Caring Heart Vision

Kila Elfu Moja unayotoa ni hatua moja ya kubadilisha maisha ya mtoto mmoja. Hakuna mchango mdogo unapofanywa kwa moyo wa upendo.

πŸ“… 22 Agosti 2026

πŸ“ž Kwa mawasiliano: +255 763 051 012

🀝 Tafadhali share ujumbe huu ili kuwafikia wadau wengi zaidi.

Elfu Moja Elfu Moja Campaign – Changia Elfu Moja, Badilisha Maisha Elfu Moja. ❀️

#ElfuMojaCampaign #CharitySeason5 #CaringHeartVision #FromOurHeartsToTheirHands #TogetherWeCan taken in Mbeya Town, The Green City. by @caring_heart_vision_foundation
0
a month ago
Download
13/06/2026 historia imeandikwa kama chemchemi isiyokauka. Tunatoa shukrani za dhati kwa @all_one_aid_foundation  kwa kusimama na watoto wenye uhitaji maalumu wenye ulemavu wa akili na viungo  Upendo Rehabilitation Centre. Upendo, huruma na mshikamano wenu umeleta tabasamu na matumaini kwa wengi. Endeleeni kuwanywesha wengi chemchemi ya upendo bila kuchoka. Mungu awabariki kwa moyo wenu wa kujitoa. πŸ’™
@all_one_aid_foundation
@nishike__mkono 
@christinachacha95 
@officialy_nusratyfattah 
@faustinicare 
#AllOneAidFoundation #UpendoRehabilitationCentre #SupportSpecialNeeds #TogetherForHope #CommunityCare taken in Kimara Suka by @caring_heart_vision_foundation
3
a month ago
Download
Alhamdulillah for today an everyday β™₯οΈπŸ’—
#sisi ni nyumba ya mtume β™₯οΈπŸ«‚πŸ˜Š 
@upendo rehabilitation center 
@all_one_aid_foundation taken in Dar es Salaam, Tanzania by @caring_heart_vision_foundation
27
a month ago
Download
Jana katika Charity event iliyofanyika katika kituo Cha @upendo_rehabilitation_centre kilichopo Kimara Suka jijini Dar es salaam

Powered by 
@sir_samwel @nisher_home_shopping_center taken in Dar es Salaam, Tanzania by @caring_heart_vision_foundation
22
a month ago
Download
Taasisi ya All One Aid imeweza kutembelea katika kituo cha Upendo Rehabilitation Center kinachopatikana Kimara Suka jijini Dar Es Salaam na kutoa Msaada katika kituo hicho,pia wameweza kuwaomba watanzania wengine kuweza kujitokeza katika kituo hicho na kwenda kuwapa faraja watoto wanaopatikana hapo.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na uongozi wa kituo hicho kupitia simu nambaπŸ‘‡πŸ‘‡
0777 952 323

Lakininpia sadaka yako unaweza kutuma kupitia Lipa namba ya Yas 

45623293 
Upendo rehabilitation center 

CRDB 
0150601256200

#dostmedia
#dosthabari by @caring_heart_vision_foundation
1
a month ago
Download
Kituo cha Upendo Rehabilitation Center kimeeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili na inatoa wito kwa watanzania kuweza kutoa Msaada kwa yeyote aliyeguswa.

Mahitaji yanayohitajika ni kama Chakula,Pempasi za watoto, gloves, pamoja Bima za Afya za watoto wanaopatikana katika kituo hicho.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga simu namba
 0777 952 323

Lakini pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia nambaπŸ‘‡πŸ‘‡

Lipa namba ya Yas 45623293. 
Upendo rehabilitation center 

CRDB 
0150601256200 by @caring_heart_vision_foundation
1
a month ago
Download
Dost Media tumetembelea katika kituo cha Upendo Rehabilitation Center ambacho kinapatikana maeneo ya Kimara Suka Jijini Dar ES Salaam.

Kituo hiki kinajihusisha zaidi na kuwapa huduma watoto wenye mahitaji maalumu kama vile watoto wenye matatizo ya Usonji,watoto wenye matatizo ya Viungo pamoja na watoto wenye matatizo ya utindio wa ubongo.

Kwahiyo watoto wenye matatizo hayo kituo hiki wanawapa huduma ya mazoezi tiba,malazi pamoja na elimu maalumu kwa watoto wenye Usonji.

Mpaka hivi kituo hiki kina watoto zaidi ya Hamsini ambao wanamatatizo hayo lakini pia uongozi wa Upendo Rehabilitation Center wamewaomba wazazi wote wenye watoto kama haya wawapeleke kwa lengo la kuwapa huduma.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga siku namba 
0777 952 323

Lakini pia kama utakuwa na chochote kitu tunaomba Msaada wako kupitia namba hizi πŸ‘‡πŸ‘‡

Lipa namba Yas 45623293. 
Upendo rehabilitation center 

CRDB 
0150601256200

#dostmedia 
#dostsports 
#dosthabari by @caring_heart_vision_foundation
0
a month ago
Download
Jana katika Charity event iliyofanyika katika kituo Cha @upendo_rehabilitation_centre kilichopo Kimara Suka jijini Dar es salaam

Powered by 
@sir_samwel @nisher_home_shopping_center taken in Dar es Salaam, Tanzania by @caring_heart_vision_foundation
25
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up