Wawakilishi wetu walishiriki kikamilifu katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Sekta ya Afya kuhusu Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Walichangia kwa kuzingatia uzoefu na maarifa yao ili kuhakikisha kuwa sekta ya afya inachukua jukumu muhimu katika kufikia malengo ya dira hii.
Tunawapongeza kwa mchango wao bora na tunajivunia kuwa nao kwenye safari hii ya kujenga taifa bora lenye afya kwa wote!