Posted On: December 5th 2024, 07:06 am
Mungu ni mwema, 🙏🏿Natoa shukrani zangu sana Dancers wote Mliokuja niwengi sana Sapot yenu ni kubwa Nimefurahi kuona Dance Imekuwa ni sehemu ya sana Kubwa na nimependa upendo wenu kwangu Nitalipa hili Dancers wezangu, Bila kusahau Shukrani kwa Dj, sound engineer, Dereva, A boy Director, wizara ya utamaduni, Serikali za mitaa, Mwenyetiki za mtaa , Japo changamoto nyingi tulipata Mungu Asante 😭❤️🩹🌍🙏🏿
@amabenz_stuttgart &
@eastsidefamilytz