Instagram story viewer> @niachenichore> Post
2 years ago
#NIACHENICHORE  ni wazo lilibuniwa ki mkakati ilikukuza na kuendeleza vipaji katika ngazi ya jamii kuanzia shule za awali hadi elimu ya juu na mtaani ili kuwa na mtazamo chanya katika jamiii.  Uchoraji ni ajira ya kudumu .  Bila uchoraji hakuna maendeleo duniani ,  Viwanda, wanasayansi , madaktari, mafundi, walimu, wajenzi  na wengine wengi hutegemea uchoraji kama nguzo ya uumbaji na uunsaji. Hata uumbaji wa dunia inasadikiwa ilichorwa kwanza. Kuchora ni mawazo yanayo jengwa na mtu akiwa anataka kupeleka kwenye uhalisia. Huwezi jenga mji, Gari,Ndege, au mashine yoyote bila mchoro .  Niache ni chore ni wazo lenye tija kwa jamii ya kitanzania hasa kwa kipinsi hiki tunacho pigania ajira.  Asante  @samia_suluhu_hassan  @ortamisemi  @professoradolfmkenda @ccmtanzania kwa kutubadirishia watanzania mtaala wa Elimu maana halisi ya Elimu sasa imetimia  Mungu awabariki na wasimamie kila hatua #ujoraji #ufundi #elimu #ujuzi #uthubutu.
0
Posted On: February 2nd 2025, 11:17 am

More posts

back to up