instagram story viewer > #elimu

#elimu

Posts
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza rasmi kuanza kwa wiki tatu za maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), yakilenga kuongeza uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa elimu nje ya mfumo rasmi. Kauli mbiu ya maadhimisho haya ni “Elimu bila ukomo kwa maendeleo endelevu.” Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Julai 27, 2025 Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa Maadhimisho hayo yataambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo mafunzo kwa Maafisa Magereza na Wakufunzi wa TEWW, maonesho ya huduma za elimu ya watu wazima, pamoja na kongamano la kitaifa litakalowakutanisha wadau zaidi ya 1,000 kutoka ndani na nje ya nchi. Kongamano hilo litafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.
Hebu tega sikio Kwa mbobezi wa elimu ya awali nchini na moja ya watu walioweka msingi imara wa elimu ya awali 👂🏿👂🏿👂🏿
Kabla hujawekeza kwenye Soko la Hisa, zijue sifa za kampuni unayotaka kuwekeza nayo kwa kuzingatia Vigezo nilivyoelezea kwenye hii video. Swala la Uwekezaji katika Hisa linahitaji uelewa wa hali ya juu kabla ya kuanza uwekezaji. Ukiingia kichwa kichwa utajilaumu au utaishia kulaumu watu. 📌 Ndio maana huwa nasisitiza watu kupata elimu kutoka kwa stock brokers (dalali wa Hisa) au muelimishaji unaemuamini kabla ya kuwekeza katika soko la Hisa. Hızı ni baadhi tu ya factors za kuzingatia kabla hujawekeza katika soko la Hisa za kampuni unayopendelea. Usinunue hisa kwa kufata upepo 📌 Ijue kampuni au taasisi unayotaka kununua hisa zake kiundani kwa kuzingatia Vigezo nilivyoelezea kwenye hii Hivi ni baadhi tu na vinaweza kukupa mwangaza mzuri kuhusu hisa kabla hujaanza uwekezaji. #fyp #explore #explorepage✨ #viral #instagramreels #viralreels #trending #explorepage #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #trendingreels
🚀🚀🚀Elimu Missile
ELIMU DUNIA KWA MGONJWA 🤣🤣🤣🤣🤣
Vipi tumuambie au tumuache kidogo...? #Elimu #allybaudouin #mjenzially #fedha #uchumi Mjenzi Ally
Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda ametangaza mabadiliko ya mtaala mpya wa elimu ambapo amesema kuwa kwa sasa tunaondokana na mtaala wa sasa wa ‘7+4+2+3+’ na kwenda kwenye mtaala mpya wa ‘6+4+2 au 3+3+’ ambao elimu ya msingi itaishia darasa la sita huku elimu ya sekondari kidato cha nne ikiwa ni ya lazima kwa watoto wote na sio hiyari kama ilivyo kwa mfumo huu wa sasa. Prof. Mkenda ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari hii leo Disemba 10, 2025 ambapo amesema kuwa Mtaala huo umeanza kufanya kazi kwa darasa la tatu wa sasa na wataishia darasa la sita mwaka 2027 ambapo watafanya mtihani wa majaribio utakao wawezesha kujiunga na kidato cha kwanza. “Mfumo wetu wa elimu unaweza ukauita ni ‘7+4+2+3+’yaani elimu ya misingi ya miaka saba, Sekondari ya kati miaka minne, sekondari ya juu ya miaka miwili alafu miaka mitatu na kuendelea kwa elimu ya juu kwenda mbele sasa mfumo huu ulianza kutekelezwa hapa nchini kwanzia miaka ya 60, kati ya mwaka 1965 mpaka 1968 mwalimu nyerere aliekeza mabadiliko makubwa ya mfumo wa elimu hapa Tanzania kutoka ule mfumo wa miaka minne kwenda miaka nane mpaka miaka 12 ambayo mtu alikuwa anaweza kusoma miaka minne akawa amemaliza kila kitu” “Huo ni mfumo ambao tuliurithi kwa mwalimu nyerere, mageuzi makubwa sasa ya mfumo sasa yanakuja kufanyika chini ya Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, badala ya ‘7+4+2+3+’ sasa tutakuwa na ‘6+4+2 au 3+3+’ ambayo kwamba kwa mabadiliko haya ambayo nayo tunayatekeleza kwa awamu lakini sisi hatutekelezi kwa awamu Mkoa kwa mkoa tunatekeleza kwa awamu kwa nchi nzima lakini tumeanza mitaala mipya kwanzia darasa la tatu, hawa walioko darasa la tatu 2027 watakuwa wanaishia darasa la sita” Amesema Waziri Wa Eliu Prof. Adolf Mkenda. #MillardAyoUPDATES
GEZ sogeeni hapa tupate elimu kutoka kwa shekh @lugumisaidi @lugumisaidi
Unahitaji huduma bora za magari? Tuko hapa kwa ajili yako! 🚗 Tunatoa huduma zifuatazo: ✅Elimu za magari na udereva ✅ Kuuza gari lako haraka ✅ Kuagiza gari kutoka nje ya nchi ✅ Kununua gari hapa hapa nchini ✅ Mikopo ya magari ✅ Exchange / Top-up ✅ Kubadili umiliki ✅ Clearing & forwarding – kutoa gari bandarini ✅ Na huduma nyingine zote zinazohusu magari 📞 Piga au WhatsApp: 0744 122 864 0682 051 285 Huduma bora • Haraka • Bei nafuu • Uaminifu wa hali ya juu #luxurycars #msomimagari #expensivecars #carspotting #funnyreels😂😂
Kutana na Kijana huyu @mexter24 ambae anasema akiwa chuoni moja ya ubunifu waliofanya yeye na wanafunzi wenzake waliokuwa wanasoma kozi ya Uhandisi wa magari (Automobile Engineering), ni kutengeza gari hii ambayo inatumia mfumo wa regenerative brake. Ubunifu huo ulimwezesha kuhitimu elimu yake, lakini kwa sasa kijana huyu amejiajiri katika biashara ya kuuza matunda.
Submeter sio kifaa cha ziada ❌ Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚡ Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni fursa 💡 Elimu sahihi = wateja wa kudumu. 📩 DM kwa ushauri na huduma. #SubmeterTanzania #UmemeTz #VifaaVyaUmeme #ElectricalSupplies #HardwareTz
VIONGOZI WIZARA YA ELIMU WASISITIZA UTEKELEZAJI WA MAGEUZI YA ELIMU NCHINI #tunaboreshaelimuyetu #kaziinaendelea
back to up