👏👏👏
Watoto wameshinda wilaya imeshinda tumefurah....ila pia tujitahid kuhamasisha michezo kwa watoto mashuleni lakin pia kuwalinda na kuwajali wao pamoja na makocha wao....go Monduli 🔥
Monduli safiiiii
Monduliiiiiii..hoyeeeeeeee🔥🔥🔥🙌