Episode 01, Now Available on YouTube Wengine wakiulizwa ushauri wanatoa nukuu, ila @kashaga_tz kasema straight, hakuna chenga Kila mtu apambane kivyake, maana ndiyo uzuri wa hustle.
Vijana’s Plug imetugeuza darasa la ucheshi, Kashaga anasema hustle ni mtihani wa mtu binafsi, hakuna mwalimu wa kubonyeza majibu na ukilishwa matango pori, unakosa ladha ya jasho lako.