Instagram story viewer> @ape_cakes> Post
a year ago
Photo by Agape Bernard on August 13, 2025.
Photo by Agape Bernard on August 13, 2025.
Photo by Agape Bernard on August 13, 2025.
Photo by Agape Bernard on August 13, 2025.
0
Posted On: August 13th 2025, 01:53 pm
DEAR ALL
*Ningependa kutoa shukrani za dhati* kwa wote mlionitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa na kwa zawadi zenu nzuri na za upendo. Ujumbe wenu, zawadi, na uwepo wenu vilinifanya nijisikie kupendwa na kuthaminiwa sana.

Asanteni kwa kuifanya siku yangu kuwa ya kipekee na yenye furaha.
*Mungu awabariki sana na kuwatendea mema*
Mama E🥰

More posts

back to up