Imamu pijo 😂😂
Mzee wa majungu 😂😂😂✍️✍️🙏🙏🙏🙃
Kwahy ukaona nikiwepo kweny huo mtoko na kanzu yangu ningkuzibia rizki😂
🔥🔥🔥
Maalim🔥😂
Shekh mmmh 😂😂
Maalim🔥🔥🙌🙌
Nguvu ya mkeka wa juzi😂🙌🏼
Njoo zebra kisinia kimetuzidia sheikh 😂
Sawa unawahi Kisinia ndo uvae Kanzu ya Baba 😁
sheikh wa Bei ya Jion😂😂