Nitoe shukran zangu za dhati kwa uongozi kampeni ya mama asemewe taifa chini ya katibu mkuu wa Taasisi ya SAMIA-FOR-US @dwightdanda. Kwa niaba ya Kampeni ya @mama_asemewe wote kwa kunikumbuka mimi @henryjohnmanywili (KATIBU MKUU WA KAMPENI YA MAMA-ASEMEWE TAIFA) na kuona Mchango wangu, pamoja na kuwa sipo pamoja nanyi kimwili Ila kiupendo na majukumu tuko pamoja, na pia nawashukuru kwa kuendelea kumsemea mama yetu DKT.SAMIA SULUHU HASSAN, na Taifa letu kiujumla. #nchikwanza #haijapatakutokea #Kurayakwanzakwasamia #Oktobatunatiki #Kazinaututunasongambele