Posted On: December 14th 2025, 09:11 am
CHUO KIKUU UDSM, KUWEKA JIWE LA MSINGI KAMPASI YA KAGERA
•
✍🏿na Mtawala Edison.
•
Wanakagera tukutane Disemba 15, 2025 tunapoweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Kampasi ya Kagera ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam inayojengwa katika Wilaya ya Bukoba, Kata ya Karabagaine, vijiji viwili vya Itahwa na Kangabusharo
•
Kampasi hii ni miongoni mwa kampasi 16 zinazojengwa kote nchini Tanzania, utekejezaji wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuimarisha elimu ya juu, kuongeza fursa kwa vijanatena karibu na wananchi na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kupitia utafiti, ubunifu na rasimali watu yenye ujuzi na maarifa.
•
Endelea Kusikiliza Mtawala Radio, tunasikika Duniani kote.
•
Follow us on Instagram
@mtawalaradio +255 758 555 000.
•
✍🏿na
@drmtawala | Mhariri its_zingo wa Mtawala Radio.
•
#mtawalaradio#mtawalanews#kagera#bukoba