instagram story viewer > #kagera

#kagera

Posts
#KAGERA Hivi ndivyo nyau wa Kagera walivyo
Miundombinu madhubuti ni msingi wa ukuaji wa uchumi na ongezeko la fursa za uwekezaji. Ndiyo sababu katika uongozi wangu nimeendelea kuweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya barabara, afya, elimu, pamoja na upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Kyerwa. Ninaishukuru Serikali yetu sikivu ya Chama Cha Mapinduzi, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kutekeleza miradi muhimu inayogusa moja kwa moja maisha ya wananchi na kuchochea maendeleo ya Wilaya yetu. Tutaendelea kushirikiana na Serikali na wadau wote kuhakikisha Kyerwa inaendelea kusonga mbele kwa kasi na kwa tija. #kagera #knsekela #kyerwampya #kyerwa #tanzania
#kagera ##
KAGERA: MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, amekanusha madai ya kushiriki siasa katika Jimbo la Bukoba, akisisitiza kuwa anatekeleza majukumu yake ya kiserikali kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika kongamano la wafanyabiashara wadogo wadogo (SHIUMA) lililowakutanisha zaidi ya watu 1,600 mjini Bukoba, Mwassa alisema anaamini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitasalia imara na kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Katika tukio hilo, Mkuu wa Mkoa alikabidhi ofisi na vyombo vya usafiri kwa makundi ya wajasiriamali ili kurahisisha utendaji wao wa kazi. Imeandaliwa na Diana Deus #UjanjaNiKupigaKura #KuraYakoMaishaYako #Uchaguzi2025 #HabarileoUPDATES
*Tujuane waliosomea hapa au kuja UMISETA kama Will I am Wakati nikiwa midfielder , tia neno moja la Mwl unaye mkumbuka au mkasa mmoja WA school ya Majogoo, je unajua tafsiri ya Majogoo watatu. *Sema neno* Mwaka gani #ihungo #kagera #Bukobawadau #elimutanzania
Tunapatikana Magomeni kagera Delivery tunafanya
Mua @zuu_make_up_studio Dress @zuuweddingdress #kagera #makeup #wedding #tanzania #daressalaam b
VETA KUZINDUA CHUO KIPYA MKOANI KAGERA, RAIS SAMIA KUKABIDHIWA RASMI KESHO #WIKIYAKITAIFAYAVIJANA #KAGERA #BUKOBA
FURAHA YAO NI YETU SOTE. Mimi na marafiki zangu wazuri TUNASHURU SANA KWA HILI🙏. Tulipata mipira kutoka kwa wadau WA Elimu kama tulivyoomba 02/04/2026. Mimi na marafiki zangu tumefurahi sana. Ahsanteni. Mipira itawasaidia watoto kucheza na kujifunza kupitia michezo. Sasa.. tuna Mpira wa Pete wa wanawake LAKINI pia tunampira Wa miguu Kwa wanaume. #Wizarayaelimu #wizarayaelimutanzania #maishahalisi #kagera #Missenyidc @walimuwamoyo @furahayetusote @Tusome @Tukue @Tuchezekwapamoja
CHUO KIKUU UDSM, KUWEKA JIWE LA MSINGI KAMPASI YA KAGERA • ✍🏿na Mtawala Edison. • Wanakagera tukutane Disemba 15, 2025 tunapoweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Kampasi ya Kagera ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam inayojengwa katika Wilaya ya Bukoba, Kata ya Karabagaine, vijiji viwili vya Itahwa na Kangabusharo • Kampasi hii ni miongoni mwa kampasi 16 zinazojengwa kote nchini Tanzania, utekejezaji wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuimarisha elimu ya juu, kuongeza fursa kwa vijanatena karibu na wananchi na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kupitia utafiti, ubunifu na rasimali watu yenye ujuzi na maarifa. • Endelea Kusikiliza Mtawala Radio, tunasikika Duniani kote. • Follow us on Instagram @mtawalaradio +255 758 555 000. • ✍🏿na @drmtawala | Mhariri its_zingo wa Mtawala Radio. • #mtawalaradio #mtawalanews #kagera #bukoba
Ni wazi kabisa kila mtu ana mtindo wake wa kuishi unaomtambulisha katika jamii, wapo wanaotambulika kutokana na kazi huku wengine mwonekano wao na hivyo kupewa majina yanayoendana na upekee wao mathalani kuna wanaoitwa Bigii au bonge kutokana na miili yao. Lakini wapo wenye upekee wa mavazi ambapo hii leo, Jumapili, Septemba 29,2024 Benson Eustace anatuletea simulizi ya Jumbe Idd Kiza maarufu kwa jina la MR WHITE aliyejipatia umaarufu mkubwa mjini Bukoba kutokana na uvaaji wake wa nguo nyeupe ambazo alioanza tangu mwaka 2006. #Mvutowakipekee #MrWhite #mavazi #MRWhite #kagera ✍@official_jennifersumi
Moja ya hoja zangu #Bungeni ni zao la #Vanilla ili Wakulima wetu #Kagera wanufaike na katika kuendelea kuibeba hoja hii leo nimeiuliza @wizara_ya_kilimo kuhusu mpango wa Serikali kuweka utararibu wa kuuza #Vanilla hususan #Kagera. Nitafuatilia Uzinduzi wa Mnada wa TMX kwa #Kagera.
back to up