Instagram story viewer> @mr_iddrisa_4> Post
7 months ago
Hello mama happy birthday to you Mungu akupe maisha marefu azidi kukupa subra uvumilivu katika nyakati zote Nakupenda sana sana ❤️ @officialshilole  siku ya leo kwako natamani ujue  wewe kwangu ni zaidi ya mama najiona Sio yatima tena Mungu kanipa mama tena nashukuru kwa kuwa karibu na mm nyakati zote tamu na chungu 😢mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema Nakupenda ❤️🫂🫂🫂
1
Posted On: December 19th 2025, 11:36 pm
Hello mama happy birthday to you Mungu akupe maisha marefu azidi kukupa subra uvumilivu katika nyakati zote Nakupenda sana sana ❤️ @officialshilole siku ya leo kwako natamani ujue wewe kwangu ni zaidi ya mama najiona Sio yatima tena Mungu kanipa mama tena nashukuru kwa kuwa karibu na mm nyakati zote tamu na chungu 😢mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema Nakupenda ❤️🫂🫂🫂
Comments (1)
officialshilole 7 months ago

officialshilole

Amin ❤️❤️inshaaalllha

More posts

back to up