Posted On: January 9th 2026, 11:29 am
rePLAY on.... Hii ilikua fight ya hivi karibuni ambapo Frank Shagembe Bondia namba Moja Afrika uzito wa light Heavy, alipomtwanga Bondia Haruna Osuman tokea Ghana. Moto uliwaka Mbaya mno, Shagembe alfanikiwa kuchukua Mkanda wa WBO Africa ambao ulikua unamilikiwa na Haruna. Pambao lao lote tayari lipo You Tube channel ya
@mafiatelevisiontz . Tutaendelea kuwawekea Highlights za Mapambano yote ya Knockout ya Mama season 7.
#boxi #boxingnews @frenkshagembejr