Instagram story viewer> @noby_graphics> Post
9 months ago
3
Posted On: January 29th 2026, 01:01 pm
Mgeni Rasmi wa mchezo wa Hisani wa Mpira wa miguu kupitia Kampeni ya Bingwa wa Mabadiliko utakaofanyika kesho Saa 8 mchana kwenye Uwanja wa Samora, Nzega Mjini ni Mhe. Naitapwaki Lumeya Tukai.

Ewe Mtanzania mwenzetu kuwa Bingwa wa Mabadiliko.

Fuata hatua zifuatazo kuchangia (VODACOM CHANGISHA Akaunti).

Bonyeza *150*00#
Namba 6 (Huduma za Kifedha)
Namba 5 (Changisha)
Namba 2 (Changia/ Weka ahadi)
Weka Code ya Changisha (8775155)
Weka kiasi, Namba ya Siri, Bonyeza 1 kuthibitisha.

Karibu na Asante.
Comments (3)
noby_graphics 9 months ago

noby_graphics

Karibu kesho

emmahamis_ 9 months ago

More posts

back to up