Instagram story viewer> @mwikwabewitness> Post
8 months ago
5
Posted On: February 10th 2026, 05:55 am
The moment you preach the gospel ,na kuamua kuwaleta watu kwa yesu.Hakuna kitu kitakua ni kigumu mbele zako ,hiyo ni kwasababu umeamua kutimiza agizo la yesu kristo ,Mathayo 28:19

Amka kijana uchukue uamuzi ambao ni sahihi sasa wa kumpokea yesu kristo,na kumkaribisha aingie ndani ya moyo wako atengeneze makao.
#churches #gospel #apostlefadhilithekemuel #youthempowerment #godfirst
Comments (5)
official_shepherdjoseph 2 months ago
hellen_kezzy 4 months ago

hellen_kezzy

🔥🔥🔥

mwikwabewitness 8 months ago

mwikwabewitness

Injili on fire🔥

mwikwabewitness 8 months ago

mwikwabewitness

🙌🙌🙌

mwikwabewitness 8 months ago

mwikwabewitness

🔥🔥🔥

More posts

back to up