5 months agoNah!!! Bado sijafikia mda wa kujibu hili, ila Mungu anisimamie nijipate vizuri!!๐ญ
5 months agoHutakaaa ufike popote sasa hivi nashinda Angan kama ndege na hao hao walisem Mimi Ndio msaada wao Allahmdullah ๐
5 months agoEnzi hizo najifunza ufund niligombana nafundi wangu akaniambia mm ni mwamba huu mji wote so ntawaambia ofs zote kua ww ni mwizi na unatorosha kazi ngoja tuone.๐๐๐๐ nilipagawa mm hatar. ILA LEO MM NDIO C.E.O NA NNAMADOGO KAMA 10+ MUNGU ACHA AITWE MUNGU PIA KUNAVIJANA WENGI WAMEJIAJILI WANTAFUTA VYAO LAKN WAMEPITIA MIKONON MWANGU .
5 months agoHapa nilipo sasa ni Mungu ku tu, nili semwa mengi magumu na wapo walio jifanya miungu watu wakaniambia 2025 huto imaliza ๐ข Kwa Neema ya Mungu nipo hapa Leo ๐
