7 months agoPode kwa bafua ,huyo kataman nywele zetu dachuro bwambie asipike Tena nywele wada kubodrai umeskia 😂😂
7 months agoUwiii siwez kukata nywele zangu never 👎 zitakua baada ya miaka 10 aku hao wenye nywele zao labda wamezichoka
7 months agoKwa jinsi ninavyohangaika na hiki kipilipili changu kikue halafu naona mtu anakata nywele kuna jinsi nafeel
