7 months agoHelloo dear it was nice meeting you...could you plz send me the video we took together ❤️
7 months agoSAIKOLOJIA YAKO – AKILI YAKO Unapitia: ✔ Msongo wa mawazo ✔ Hofu isiyoisha ✔ Huzuni ya muda mrefu ✔ Kukosa usingizi ✔ Kujihisi na kuwa Mpweke ✔ Kuchoka bila sababu ✔ Kukosa utulivu ✔ Kutokua na hisia ✔ Panic Attack ✔ Hasira au uchokozi ✔ Mawazo ya kujiumiza au kujiua ✔ Kujitenga au kuepuka watu ✔ Kutokuamini na Kutojiamini ✔ Kuongezeka kwa matumizi ya vilevi/dawa ✔ Kutojithamini ✔ Kutaka kufanya kisasi au kijihisi ✔ Work burn out ✔ Low Self-Esteem and confidence 🧸 Hauko peke yako - Hizi ni dalili zinazoweza kuashiria changamoto za kisaikolojia na afya ya akili– na msaada upo. Saikolojia Tiba inapatikana kwa: ✔ Sonona (Depression) ✔ Wasiwasi (Anxiety) ✔ Msongo wa mawazo (Stress) ✔ Talaka au kutengana ✔ Changamoto kazini ✔ Mahusiano/ndoa ✔ Addiction ya ponografia au kujichua ✔ TRAUMA ✔ Bipolar (Hisia Mseto) ✔ Addiction ya simu na mitandao ya kijamii ✔ PTSD ✔ Tatizo la hasira (Aggression) Njoo utoe machungu na maumivu uliyonayo kwa muda mrefu na uishi kwa uhuru. Saikolojia Tiba na Nasihi zinasaidia. DM iko wazi – tuchati, tuanze safari ya uponyaji pamoja. 👌 Huduma ni kwa gharama nafuu tu.
