Instagram story viewer> @azamtvsports> Post
6 months ago
8
Posted On: April 30th 2026, 03:26 pm
USIKU WA KISASI: Ulingo unasukwa vilivyo hapa EACLC, Ubungo Dar es Salaam.

Leo ni kupima uzito na face off ili kesho zichapwe ndondi.

Tutakuwa LIVE #AzamSports3HD leo kuanzia saa 1:00 usiku.

Pambano Kuu ni Ibrahim Mafia dhidi ya Alvin Camique kutoka Philippines.

Ngumi zenyewe ni kesho Mei 1, 2026, LIVE AzamSports3HD, kuanzia saa 12:00 jioni.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama ngumu hizi.

#MafiaBoxing #VitasaNight #AzamtSports #UsikuWaKisasi Vitasa
Comments (8)
baba___rian 6 months ago

baba___rian

Mungu saidia wapizani waumwe tena 😂au wenyeji waumwe mungu jibu maombi yangu

manyamajose 6 months ago

manyamajose

Kiingilio bei gani hapo

jumamwamba95 6 months ago

jumamwamba95

Itakuwa lini hapo jukwaan

abdulshakur921 6 months ago

abdulshakur921

Kwani hamna kazi za kufanya!!au kazi zenyewe ndio zimebaki hizo

pikipiki_used_limited 6 months ago

pikipiki_used_limited

Karibu nikuuzie pikipiki kwa bei nafuu

men_simba 6 months ago

men_simba

Mtaenda wenyewe atuji tena

mr.chogogwe 6 months ago

mr.chogogwe

Jaman ngumi zimekuwa kama mpira sasa halafu Mafia walewale wa juz ndowameandaa tena pambano

More posts

back to up