Instagram story viewer> @millardayo> Post
6 months ago
Co Creator: ayotv_
191
Posted On: May 13th 2026, 08:57 am
Tagged Users:
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab Katimba amesema Serikali imepanga kuanza mchakato wa kukusanya maoni ya Wananchi kuhusu marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kifungu cha 13, kinachoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 15, katika mwaka wa fedha 2026/2027.

Katimba amesema hayo leo Mei 13, 2026, Bungeni alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Taska Restituta Mbogo ambapo amesema “Sheria ya Ndoa wakati inatungwa mwaka 1971 ilitanguliwa na ukusanyaji wa maoni kwa jamii kwa njia ya White paper ambapo Watanzania wote walishirikishwa, Aidha tangu Sheria hii itungwe imeshafanyiwa marekebisho mara nne mwaka 1974, 1996 na mwaka 2006 mheshimiwa mwenyekiti maoni yalikusanywa kwenye mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, Arusha, Dodoma na Mara kuhusu sheria ya ndoa sura ya 29”

“Hata hivyo baada ya uchambuzi wa maoni yaliyokusanywa imeonekana kuna hitaji la kukusanya maoni zaidi katika Mikoa iliyosalia zoezi ambalo limeapangwa kuanza katika mwaka wa fedha 2026/27 mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo Seriakali itawasilisha muswada Bungeni ambao utakuwa umezingatia maoni ya Wananchi”
#MillardAyoUPDATES
Comments (191)
emma_cosmetics_01 6 months ago

emma_cosmetics_01

Vidonge vya kutoa mimba visiwepwa

saa_jumla 6 months ago

saa_jumla

Kwaio mtabadilisha na kwa waislam maana nasikia kwao inaruhusu sababu mtume alio mtoto miaka mingapi sijui ila midogo sana ? Inaenda kuwaje?

sehzadsehby 6 months ago

sehzadsehby

ewaaaaaa

kajerig 6 months ago

kajerig

DAWA YA MENO ULIYOISUBIRI IMEFIKA KWA MATATIZO YOTE. •Maumivu ya meno •Harufu mbaya ya mdomo •Kuvimba fizi •Kutokwa damu •Vidonda Mdomoni •Ugumu wa kutafuna •Kinywa kukauka •Homa kutokana na maambukizi. Tunapatikana Dar Es Salaam Kimara Stop Over Tupigie 0762818750

grolymaleko 6 months ago

grolymaleko

Miaka 20 ndio umri wakuolewa tayari Binti anaweza hata kuhudumia huyo mtoto atakayemzaa

bosco_psychotherapist 6 months ago

bosco_psychotherapist

SAIKOLOJIA YAKO – AKILI YAKO Unapitia: ✔ Msongo wa mawazo ✔ Hofu isiyoisha ✔ Huzuni ya muda mrefu ✔ Kukosa usingizi ✔ Kujihisi na kuwa Mpweke ✔ Kuchoka bila sababu ✔ Kukosa utulivu ✔ Kutokua na hisia ✔ Panic Attack ✔ Hasira au uchokozi ✔ Mawazo ya kujiumiza au kujiua ✔ Kujitenga au kuepuka watu ✔ Kutokuamini na Kutojiamini ✔ Kuongezeka kwa matumizi ya vilevi/dawa ✔ Kutojithamini ✔ Kutaka kufanya kisasi au kijihisi ✔ Work burn out ✔ Low Self-Esteem and confidence 🧸 Hauko peke yako - Hizi ni dalili zinazoweza kuashiria changamoto za kisaikolojia na afya ya akili– na msaada upo. Saikolojia Tiba inapatikana kwa: ✔ Sonona (Depression) ✔ Wasiwasi (Anxiety) ✔ Msongo wa mawazo (Stress) ✔ Talaka au kutengana ✔ Changamoto kazini ✔ Mahusiano/ndoa ✔ Addiction ya ponografia au kujichua ✔ TRAUMA ✔ Bipolar (Hisia Mseto) ✔ Addiction ya simu na mitandao ya kijamii ✔ PTSD ✔ Tatizo la hasira (Aggression) Njoo utoe machungu na maumivu uliyonayo kwa muda mrefu na uishi kwa uhuru. Saikolojia Tiba na Nasihi zinasaidia. DM iko wazi – tuchati, tuanze safari ya uponyaji pamoja. 👌 Huduma ni kwa gharama nafuu tu.

fadronar 6 months ago

fadronar

Vipi kuhusu shule za watoto wakiume za sayansi? Au niache ujinga

mbughi.amina 6 months ago

mbughi.amina

Ibadilishwe tu watoto wa kike gawafikii ndoto zao

whales_________ 6 months ago

whales_________

😂😂😂😂

mknplumbing.tz 6 months ago

mknplumbing.tz

Sheria sahihi bint anapaswa kuoelewa akivunja ungo ikiwa hana kinacho mfanya asiolewe

goodlucky_69 6 months ago

goodlucky_69

Kama hataki kusoma tufanye je! Mwache Aolewe bwanaa😂😂

chrispini_kayombo 6 months ago

chrispini_kayombo

Mikoa 6 wakati nchi inamikoa 31

Load More

More posts

back to up