Instagram story viewer> @tormas69> Post
2 months ago
Natoa pongezi zangu kwa washiliki wote #Redbulldancetanzania Mumewakilisha vyema #TANZANIA Bendera 🇹🇿 Imepepea, Hongera @king_tiza , Na kwa mshindi wetu @mr_blawhite wa #Redbulldancetanzania Umeitanganza vyema Nchi yetu 🇹🇿 

Oii #ranykida kwanza wewe ulikuwa kwenye Aya mashindano ya #Redbulldancetanzania kama LEGEND Siku ya FAINALI TU, sasa waulize wezako waliokuwa mzunguko wa kwanza pale AmellDar na wewe ulikuwepo pembeni kama LEGEND wa mchezo Sweep,🤷🏿‍♂️ Wanatakiwa watoto ndo wawatambie watoto wezao,  ivyoo na sio wewe wakusema maneno ayo ndo Tunakuja  kujuwa wewe sio LEGEND ni fursa  tu pia na majaji walikuwa ni Proffesional makini, lakini wewe sio  LEGEND unaitaji kwenda kuuliza Kaka zako waliokuinspire kuingia katika hii game Alafu uje utoe maoni yako apo juu Ujumbe huu Ilipaswa Andike Angelnyigu huyu ndie LEGEND  ila wewe ulipata fursa kuwa Redbulldancetanzani Sawa chrisborown Alfu Ukisema neno wakina nani sujui wote kwanza Umewakosea Heshima Kaka zako kumbuka Kuna LEGEND BBOY. UNamjuwa bboy Wa Kwanza Tanzania 2009 Mtu Marufu Bboy secky Alie tufanya sisi BBOY Tormas69 BBOY Dogoray BBOY Zungu94 BBOY Peter BBOYJohson BBOY wengi nimesahau majina yao Juwa walikuwa wengi Juwa Kuwa apa TANZANIA Alikuwepo  @bboysecky Unajuwa  ni nani na unataka kujuwa katika hii game Amefanya nini na anaendelea kufanya nini watakuambia vzuri Walikuinspire Kaka zako 😁
210
Posted On: May 25th 2026, 11:54 am

Comments (210)
festo_wizy a month ago

festo_wizy

Sasa Genz dancers wakubali kufundishwa waache ujuaji 🙌🙌

yusuphstanslausy a month ago

yusuphstanslausy

😢😢😢

heritage.t.kevin 2 months ago

heritage.t.kevin

Cool 🥰

onetwo5246 2 months ago

onetwo5246

Good 👏🔥🔥

director_travis 2 months ago

director_travis

Sam mabele🔥🔥🔥

jay_jonce12 2 months ago

jay_jonce12

Real fact my brother @bboysecky LEGEND RESPECT 👏

tormas69 2 months ago

tormas69

my brooooo😂😂😂

bboypetercat 2 months ago

bboypetercat

Ulimi auna mfupa mazee tusameeane tuuh🙏🙏✌️

paulsantana1967 2 months ago

paulsantana1967

WAMERUKA MADARASA

iamkid.ayo 2 months ago

iamkid.ayo

😂ilibid wakutane na kashkashi ya dance 100 100.🔥

moses_macode 2 months ago

moses_macode

Tormas wewe ni talent wache wanavyokufikili Ila sisi wengi tunajua wewe bora 👏

clara_de_pretty_ 2 months ago

clara_de_pretty_

Nilijua Ai 😂😂

miss_anserot 2 months ago

miss_anserot

Mbona dance yake n ya kawaida tuu na yeye???

casimond_lantom 2 months ago

casimond_lantom

Bas ankoo 🙌

tino_safari 2 months ago

tino_safari

Uyo dgo ajuwi lolote nilishamchna yan ajuwi lolote

Load More

More posts

back to up