Posted On: June 24th 2026, 02:15 pm
Tulipotoka bado panatutegemea. Kila hatua tunayopiga leo ni mwanga kwa waliobaki nyuma
Usisahau ulipotoka maana kuna watu bado wanaamini utafungua njia ya mafanikio kwao
mafanikio yetu ni matumaini ya wengi
Kadri tunavyopanda juu, ndivyo tunavyopaswa kukumbuka mizizi yetu
Tulipotoka si sehemu ya kusahau, ni sehemu ya kuthamini na kurudisha fadhila
Ndoto zetu si za kwetu pekee, kuna jamii nzima inayotuangalia kwa matumaini
Kila mafanikio tunayopata ni ujumbe kwamba hata tulipotoka inawezekana
Mizizi yetu ndiyo nguvu yetu tulipotoka bado panasubiri tuandike historia mpya
@mbosso_@nochy_sk @47criticaldok @uni_trendings24 #trendingreels #dji
#efootball#mwanachuogottalent # hip hop