โค๏ธโค๏ธ๐ฅ
Samaki huyo anaitwa sharobaro๐ฅ๐ฅ mtamu balaaaaa
Uyu si wanasema anasumu??
There was never boogle ila wasalitiii๐
Kwani Dada @vee_katie ukienda kununua hua unawaambia wakupe zile zakutisha ili ututishe viewers wako ety?๐คฃ๐คฃ
Si ni sumu huyu samaki jamani๐ข๐๐๐๐
Wewe Sasa inabidi ukamatwe upigwe useme kwanini unajiamulia kuhalalisha hivi vitu ๐
๐๐๐
Da vee Uko serouse mwneyewe๐๐๐๐๐ฎ
Mpishi
Samaki gani huyo mnae jua mniambie
Mmmh unaonesha utampika mpka mumeo ukikosa chakupika ๐ ๐ ๐ฅฒ
๐๐๐๐
Tukiendelea kumchekea vee anatulisha mamba kesho๐ข๐ข๐๐
๐Ila Vee tukupe tu usimamiz wa jiko