18 days agoRespect ndo kila k2.mdogo kumuheshimu mkubw, mkubwa kumuheshim mdogo. All in all bro @tormas69 we ni legend bro . Just create a new thing bro. Yabwage bro sometime inabidi uishi slave Ili mambo yawe safi @binowrld1
a month agoMi naona mnaangaika tu😂😂kwan si mkae kimya mshut😂😅aya mainterview mi naona usenge tu
a month agoKama kaka uo ndo wajibu wako kwetu mstuache mda mwingine tuongee upuuzi tu asant kaka @tormas69
a month agoKaka dance ya zamani ilikuwa ngumu sana wanangu watu walikuwa wanafanya kweli na majivuno hakuna na hata akijivuna unaona anastahili ila sasa hivi wakijua amapiano tu wamemaliza😂....huyo hata kwenye storm step move unaona kabisa kawaida ila mdomo sasa kingine kuambiwa ukweli apendi anakublock kabisa hivi vinaupepo kuna kipindi hatasahaulikà kabisa na hapo ndo ataelewa
