Posted On: June 25th 2026, 06:15 pm
#ranykida Ivi ulisikiliza vizur swali la Sister Aliuliza swali zuri Tu ukiwa unakataa kiasi kidogo wakati unasubilia kiasi kikubwa utawezaje kumudu billi za nyumba, ila umeona ulichosema kuwa wewe ukiachana na Dance kuna Kampuni Unafanya nao kazi..?? Alf unakuja unasema Dance ndo inakuingizia pesa nyingi kuliko iyo Job 😂😂 Ujue nini
#ranykida kwenye hii Interview, ulikuwa unasahau kuwa ulisema kuwa ulikuwa unafanya kazi za wasanii ulikuwa ujakuwa sasa ivi umekuwa umeona Ulikuwa una Jibeza kwao Sasa ivi unatoa ushaur kwa vijana kama Age yako watoto wa chuo Na Dancers wote Kuwa wafanye Tu... Ila wewe ushavuka uko sawa Iko ivi Kila Unapoongeza juhudi na jitihada sio kama wewe unaweka Misingi wala Juhudi zako ndo zinaonesha kuwa wewe unamisingi imara zaidi lakini sio Wewe uwanze na misingi bila Juhudi Jitihada zako kwaiy Vijana ushaur wakuwapa ni kwanza Mungu, Waongezee ubunifu mazoezi Nidhamu na Eshima kwa lika zote
Tuendeleee kupambana kufanya kazi za wasanii wetu Apa Tanzania, Tuzidi kuwapa Sapot Mpaka tutafika. Siku mbili izi Zuchu ame Saini Dance kutoka
#Afromob Angalia wasanii walivyokuwa na Love na sisi Etii Uwezi juwa kesho utakuwa wewe Tufanye kwa nguvu zote ipo siku wataelewa Awa wakina
#Ranykida kitoto cha Chuo 😂 Ila
#Malebo Unapenda kujiamulia Mambo 🥴