Posted On: July 1st 2026, 01:44 pm
Katika kipindi hiki cha maadhimisho, tutaonesha kazi na hadithi za mabadiliko tuliyoyafikia kwa pamoja. Fuatilia kurasa zetu za kijamii kwa maudhui zaidi.
-
Asante kwa kuwa sehemu ya miaka 20 ya mabadiliko. Safari inaendelea!
#CDFat20 #Miaka20YaMabadiliko #20YearsAnniversary