😂
nazani Jana ushaanza kuwa na wasiwasi na France 😂😂😂
We nawe tunacheza pungufu. Hatuna mtu hapo.
😂😂😂😂😂
Huyu ni mwenzetu au weupe unanichanganya
Messi amewaaminisha watu mpira ni rahisi sana il ronaldo ndo anawaambia watu ukweli mpira sio rahisi hvyo😂😂😂😂
Futa io
Nshawambia sana kuhusu wanaume weupe na mpira ila hamuelew😂😂
😂Siuuuuuuuuuuuu
😂😂😂
😂😂oke
Huakika wako umeenda wap 😂😂😂
Swa
Cry more cry more