4 days agoNauza uji wa ulezi mchele chocolate nazi karibuni sana nafanya delivery dar na nje ya dar mpaka nchi za nje njoo insta story uangalie flavor unayotaka karibuni maboss zangu 🥰
5 days agoBY @dalali_wamkoa_tz_property @dalali_kamwene_real_estate TUNAUZA NYUMBA NA VIWANJA PIA TUNAPANGISHA NYUMBA AINA ZOTE TUPO TANZANIA 🇹🇿 DAR ES SALAAM Contact us Calling 0786036444 WhatsApp 0769201444 World 🌎 wide web www.dalaliwankoarealestate.co.tz
5 days agoMwanaume kuishi ki original ni vile ambavyo... Mwanaume anaishi ktk njia za kiume...Anakuwa hana mikogo, mtu wa watu, yupo kwa ajiri ya watu wote.... Anajituma ktk mishe zake, hana pigo za kike, kuvaa hereni au kusuka... Mwanaume og huwa na mtazamo chanya pia ni mwenye misimamo dhabiti✍️
