Posted On: July 22nd 2026, 02:15 pm
🌟 KURA YAKO NI USHINDI WAKE! 🌟
Mrembo wetu
@conradsaraphina mwenye akili na maono, Saraphina Conrad, anawakilisha idara ya DEHS akiwa kama Mshiriki Namba 07 kwenye mashindano ya Miss MUAHSSO 2026! 👸✨Kuwa sehemu ya safari hii ya ushindi kwa kumpigia kura sasa hivi. Kila kura inahesabika! 🗳️💪
🔗 Bonyeza link kwenye BIO yangu kumpigia kura sasa hivi! 👇
#muhimbili #fypシ❤️💞❤️ #Viral #TrendingNow #vote