Kutoka CROWN DIGITAL @blessed_tillah ndiye atakuwa host wako kwenye BATANI Ijumaa, kuna mengi utayafahamu kuhusu safari yake mpaka kujipata hapa CROWN MEDIA.
BATANI inaruka kila Ijumaa saa 12:00 jioni ndani ya CROWN TV CH 415 kupitia Kisimbuzi cha AZAM (Dish), YouTube tunatumia Crown Media na marudio ni jumamosi saa 7 kamili mchana.