Instagram story viewer> @mx.xenon> Post
3 months ago
Co Creator: alexkibugajr
Klabu ya Singida Black Stars (Singida BS) imemtambulisha nyota Ladack Chasambi akitokea Simba Sports Club kuelekea msimu mpya wa mashindano 2026/27✅️

Ladack alijiunga na Wekundu wa Msimbazi misimu miwili iliyopita akitokea Mtibwa sugar ambapo alionesha kiwango bora sana kilichotosha kuwavutia wababe haoo wa soka nchini kutokea mtaa wa Msimbazi Kariakoo jijinj Dar es Salaam 

Sasa binafsi nimefurahishwa na hii move kwanza kwasababu Ladack anao ubora wa kutakiwa na timu yeyote nchini pili kwasababu bado Singida ni miongoni mwa timu zetu kubwa na ni wawakilishi wa nchi kwenye michuano ya CAF 

Hivyo ni nafasi ya pili kwa kijana kwenda kujiuliza kwenye timu ambayo pia haimpi luxury ya kubweteka na kujihakikishia kucheza isipokuwa kwenda kuonesha ubora na kushawishi benchi la ufundi kuwa sehemu ya kikosi ambacho kinaanza kila wiki kwani yes we all know kwamba always Singida wanakuwa na wachezaji wengi sana bora kwenye kila eneo

Chasambi alipata fursa ya kuonesha ubora wake chini ya mwalimu Fadlu Davids akiwa Simba na kwanamna moja au nyingine aliweza kumshawishi mwalimu na kuwa sehemu ya kikosi cha kwanza hususani mwanzo au round ya kwanza ya ligi ya msimu wa 2024/25 lakini kwa bahati mbaya akakosa mwendelezo mzuri na baadae kukosa uhakika wa namba na hata kwa walimu wengine kama Dimitr Pantev na hata Steve Barker

Kwake hii ni nafasi kubwa ya pili ya kuonesha kuwa pengine ilikuwa tu ni mipango ya walimu kiufundi ila si kushuka kwa kiwango chake lakini bado ukweli ni kwamba changamoto ya ubora mkubwa wa kama alikotoka still atakutananao Singida so hii ni juu yake yeye kufa au kupona

Kiufundi Ladack ni mchezaji mzuri sana tena wa kisasa hususani kwenye eneo lake la pembeni kama winga kwani amebarikiwa ufundi mguuni lakini spidi, uwezo wa kufanya movement kwenye half space na kumruhusu full back kuoverlap huku yeye akiongeza idadi ya washambuliaji kwenye boksi ni mkubwa lakini pia mwenyewe kufanya runs pembeni kabisa mwa kiwanja na kudeliver crosses pia ni mkubwa, anaweza kucheza nyuma ya mshambuliaji pia kama namba 10 na anauwezo pia wa kucheza mipira iliyokufa hususani kona so ni mchezaji bora na mujimu kabisa✅️

The rest ni yeye tu 

#tanzania #football #
1
Posted On: July 23rd 2026, 10:02 pm
Tagged Users:

Comments (1)
golokoboyclan 3 months ago

golokoboyclan

keep flying 🔥🔥

More posts

back to up