5 hours agoSana mm nakuunga mkono hiyo game nimeangalia mwanzo mwisho wamezingua sana hv ushindi anapewa mtu ambae kapigwa nimekaraika sana sana watatufanya tusiangalie tena hizi game km mambo yenyewe ndio haya majaji wamezingua pakubwa hasaaaa @riyamaally
9 hours agoMm nasemaga Kila siku huyu ndo mrithi wa mwakinyo ila Kuna muda propaganda zinamshusha sana na pengine anaweza akakata tamaa na tukampoteza staa @tonnyrashid47 alondwe
11 hours agoWamezingua sana hao majaji wanakera sana hawatendi haki hata kidogo siku nyingine majaji watoke nje hawA wamejishindws na hawawezi hata
11 hours agoTony kunavitu vingi inatakiwa abadilike sana mchezo wangumi sio ngumi tu unapigapasipo point nandomaana yule Msouth alishinda pambano mwishoni
12 hours agoKweli kabisa tony kampiga choki ila bongo kila kitu kimekaa kimchongo mchongo
13 hours agoWalio kuwa wanaisabu pale ponti niwatu wanaoufahamu chezo mchezo ulikuwa mzuri ni ponti tu wote wamefanya poa
13 hours agoKapiga ngumi.mwanzo mwisho @tonnyrashid47 wewe ni championi ๐๐๐ฅ๐ฅ
