Instagram story viewer> @cloudsfmtz> Post
3 months ago
Co Creator: cloudstv malkiawanguvuaward mc_marymaginga
@mc_marymaginga akipokea certificate of appreciation kutoka Clouds. Asante kwa #KukolezaLevels
25
Posted On: July 25th 2026, 08:18 pm
@mc_marymaginga akipokea certificate of appreciation kutoka Clouds. Asante kwa #KukolezaLevels
Comments (25)
ommy_thedj255 3 months ago

ommy_thedj255

Let's go My sister 🔥

spatric84 3 months ago

spatric84

Congratulations my love❤️nakufurahia sana🙌

ms.angie001 3 months ago

ms.angie001

Hongera sana my lovely sisy @mc_marymaginga kwa kutunukiwa cheti cha Appreciation katika event iliyoandaliwa na Clouds. Hii ni ishara ya kutambua juhudi zako, ubunifu wako, na mchango mkubwa unaoutoa katika kuifanya kila event iwe ya kipekee na yenye mafanikio. Umeonyesha weledi, bidii, na kipaji cha hali ya juu ambacho kimegusa watu wengi. Najivunia kuona kazi yako ikitambuliwa na kuthaminiwa. Endelea kung’ara na kufikia mafanikio makubwa zaidi. Hongera sana, unastahili! Me lavyuuuuuu sisy @mc_marymaginga ♥️♥️

priscakillia2013 3 months ago

priscakillia2013

🔥🔥🔥

lethhub_fabrics 3 months ago

lethhub_fabrics

Hongereni kwa kazi nzuri! 🌸 Kwa wanaotafuta vitambaa vya kifahari vya kushonea gauni za harusi, send-off, reception na evening dresses, karibu @LethHub_Fabrics. Tunawahudumia kwa ubora na bei nzuri. ✨

dvbstudio_ 3 months ago

dvbstudio_

Ur the best let the world known🔥🔥🔥🔥

global_maids_tz 3 months ago

global_maids_tz

Malikia wa nguvu kabisaaa🔥🔥👏👏

jenner_flavor_nest 3 months ago

jenner_flavor_nest

@mc_marymaginga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏

thebrows__bar 3 months ago

thebrows__bar

My forever favorite MC! 😍🎤 @mc_marymaginga Keep shining, queen! Kanda ya Ziwa has the best, and you’re proof of that. We believe in you today and always! ❤️✨.

its_cleria_ 3 months ago

its_cleria_

@mc_marymaginga The best female MC ever🔥🔥. Keep winning and shining 👏❤️

nancyobasy 3 months ago

nancyobasy

@mc_marymaginga one and only 😍 best female MC Lake zone na TZ yote❤️👌🏽

mc_marymaginga 3 months ago

mc_marymaginga

Ahsante sana clouds Kwa kukoleza levels za malkia wa nguvu Mwanza, Mwenyezi Mungu awabariki sana🙏🏽 Wabheja 😍😍

Load More

More posts

back to up