Instagram story viewer> @cloudsfmtz> Posts
113445
posts
9.6M
followers
164
following
Clouds Fm Radio Official Instagram Account.
Follow us on;
Facebook - CloudsfmRadio
Twitter - CloudsMediaLive
Tunakufungulia Dunia Kuwa Unachotaka
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Clouds Media Group madam Sheba Kusaga leo rasmi amebariki uzinduzi wa jukwaa kubwa ndani ya Clouds Media Malkia wa Nguvu ambalo huanza mwezi March kila mwaka.

“Katika msimu huu tunapoelekea kwenye uzinduzi wa Malkia wa Nguvu, Ofa zitakuwa nyingi na naamini kila tutakapoenda katika msimu huu Clouds itaendelea kuwa na mchango wa kuwezesha wanawake kutambulika, kutumia platform zetu katika kupeleka bidhaa zao duniani na ninaamini mwaka huu tutakuwa na mambo mengi sana”

Malkia wa nguvu mwaka huu tunasheherekea miaka 10 ya kuleta mabadiliko na kumuinua mwanamke katika nyanja mbalimbali aweze ku-nyoosha. by @cloudsfmtz
88
5 months ago
Download
Smart ushers wapo tayari kwaajili ya kukupokea, wote tunakutana Kwa Tunza Beach @kwatunzabeach by @cloudsfmtz
2
3 minutes ago
Download
Kutoka kwenye RedCarpet ya @malkiawanguvuaward 2026 Mwanza, @kwatunzabeach by @cloudsfmtz
2
8 minutes ago
Download
Malkia wa Nguvu Mwanza…show me your fashion🔥 muda ndio huu by @cloudsfmtz
6
15 minutes ago
Download
Nani kakuvutia zaidi kwa mitupio hii ya @malkiawanguvuaward hapa @kwatunzabeach by @cloudsfmtz
1
39 minutes ago
Download
Mwanza🔥 tuone mmependezaje! Leo ni usiku wa Tuzo za Malkia wa Nguvu Mwanza inayofanyika Kwa Tunza Beach @kwatunzabeach muda huu, unaonaje mavazi ya Malkia hawa? by @cloudsfmtz
8
an hour ago
Download
Malkia wa Nguvu Mwanza, wanakwambia #KolezaLevels🔥 unasubiriwa wewe tu. Leo ni usiku wa Tuzo za Malkia wa Nguvu Mwanza inayofanyika @kwatunzabeach 

📸 @kissanga.pro by @cloudsfmtz
4
an hour ago
Download
Ukisikia hatukuja hapa kucheza hii ndiyo maana yake 
Ni kilele cha @malkiawanguvuaward 2026 Mwanza by @cloudsfmtz
4
an hour ago
Download
Kumeanza kuchangamka Mwanza kwenye kilele cha @malkiawanguvuaward 2026 by @cloudsfmtz
5
an hour ago
Download
Malkia wa Nguvu Mwanza, wanakwambia #KolezaLevels🔥 unasubiriwa wewe tu. Leo ni usiku wa Tuzo za Malkia wa Nguvu Mwanza inayofanyika @kwatunzabeach by @cloudsfmtz
18
an hour ago
Download
Team ya Malkia wa Nguvu, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya MWN @lilianemasuka imekutana na Mkurugenzi wa @soya_one_limited kampuni ya Madini kutoka Tarime, Mr Chacha Soya, kubwa ni kumshukuru kwa mapokezi mazuri wa toka team ya MWN imefika Mwanza. by @cloudsfmtz
2
2 hours ago
Download
Timu ya Taifa #Clouds360 ipo tayari kuinyoosha Arusha kuanzia tarehe 29-31 katika Kongamano la Ununuzi wa Umma lilioandaliwa na PPRA …! 

Updates zote zitakuwa live kupitia @Cloudstv na @Cloudsfmtz by @cloudsfmtz
5
2 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up